Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

Mchukue chagueni pori moja, nendeni mkaishi uko km utamuona tena akiwa anavaa Madera au akiwa anazoeana na mama yake, umeoa alafu bado unaishi ukweni unategemea nini mkuu?
Siishi ukweni kiongozi, ilipaswa uniombe radhi sema ndo vile tena hatuonani wala kujuana humu.
 
Hiyo namba 5 eti si mwenye kulima ipasavyo! kwani wewe ulioa ili mkeo aje kua mkulima?

Tatizo lako kubwa hapa una kale katabia kakujifanya "Mtawala fulani"
Kingine kinachokusumbua ni wivu wa kijinga,
Hata ukija kua na mwanamke mwingine,tatizo lako litakua lipo pale pale,hapo anayetakiwa kubadilika ni wewe na sio huyo Mwanamke,

Nilisahau,hivi una umri gani vile?
 
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!

Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Niamini hili ninalokuambia, sihitaji unijibu ila niamini tu kwamba, una mchepuko tayari au una michepuko au unagongagonga nje sana, Hali hii mara nyingi (sio zote) hupelekea Hali kama hio kuona au kudhani mtu ulienae sio sahihi (imagination) ni kama aina Fulani ya ukichaa (hallucinations).
Pili, huenda hauko busy sana na kujikuta marafiki ulio nao mkiongea mambo ya wanawake au ngono zaidi (to be specific) kuliko kuongea na kujadili mambo ya msingi.
Tatu, umri wako pia huenda ikawa matatizo
Nne, your family background matters a lot...
 
Hiyo namba 5 eti si mwenye kulima ipasavyo! kwani wewe ulioa ili mkeo aje kua mkulima?

Tatizo lako kubwa hapa una kale katabia kakujifanya "Mtawala fulani"
Kingine kinachokusumbua ni wivu wa kijinga,
Hata ukija kua na mwanamke mwingine,tatizo lako litakua lipo pale pale,hapo anayetakiwa kubadilika ni wewe na sio huyo Mwanamke,

Nilisahau,hivi una umri gani vile?
Hilo la ukulima sitoenda ndani kwa maana wewe huonekani kama utalielewa kwani nahisi umetokea kwenye zile familia anbazo ni the have ones.

Siwazi utawala uliotukuka na wala sina wivu wa kijinga, nilio nao ni ule tu wa kawaida wa kulinda uanaume wangu amvao hata vitabuni (kwa sisi wenye dini) umesemwa.
Kuhusu umri we nikadirie tu ukipenda kwa maana hautokuwa na ulazima wa kuamini nitakaousema mimi.....utaamini utakaotaka wewe
 
Niamini hili ninalokuambia, sihitaji unijibu ila niamini tu kwamba, una mchepuko tayari au una michepuko au unagongagonga nje sana, Hali hii mara nyingi (sio zote) hupelekea Hali kama hio kuona au kudhani mtu ulienae sio sahihi (imagination) ni kama aina Fulani ya ukichaa (hallucinations).
Pili, huenda hauko busy sana na kujikuta marafiki ulio nao mkiongea mambo ya wanawake au ngono zaidi (to be specific) kuliko kuongea na kujadili mambo ya msingi.
Tatu, umri wako pia huenda ikawa matatizo
Nne, your family background matters a lot...
pia na kama hela zimepelea.
 
Back
Top Bottom