Niamini hili ninalokuambia, sihitaji unijibu ila niamini tu kwamba, una mchepuko tayari au una michepuko au unagongagonga nje sana, Hali hii mara nyingi (sio zote) hupelekea Hali kama hio kuona au kudhani mtu ulienae sio sahihi (imagination) ni kama aina Fulani ya ukichaa (hallucinations).
Pili, huenda hauko busy sana na kujikuta marafiki ulio nao mkiongea mambo ya wanawake au ngono zaidi (to be specific) kuliko kuongea na kujadili mambo ya msingi.
Tatu, umri wako pia huenda ikawa matatizo
Nne, your family background matters a lot...