Mchukue chagueni pori moja, nendeni mkaishi uko km utamuona tena akiwa anavaa Madera au akiwa anazoeana na mama yake, umeoa alafu bado unaishi ukweni unategemea nini mkuu?Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Basi ilimpasa aolewe huko dar, si kijijini huku ninakoishi.usimlimishe mkeo mkuu atamzesha bure.
unamlimisha mazao gani kwanza?Basi ilimpasa aolewe huko dar, si kijijini huku ninakoishi.
Ninayapitia tu yote naamini nitakutana na yatakayofaa tu..Hayo majibu ya wachangiaji Sasa...
Mahindi, mihogo, karanga, njugu...........hayo yanaenda vizuri huku.unamlimisha mazao gani kwanza?
Yah, voice from withinHii nayo ni Voice from with in.
Haya ushauri jamani Mimi nipo paleee👉
Siishi ukweni kiongozi, ilipaswa uniombe radhi sema ndo vile tena hatuonani wala kujuana humu.Mchukue chagueni pori moja, nendeni mkaishi uko km utamuona tena akiwa anavaa Madera au akiwa anazoeana na mama yake, umeoa alafu bado unaishi ukweni unategemea nini mkuu?
Nimekushauri hama hapo ulipo tafuta pori nenda kaishi na mkeo muwe wawili tu, namaanisha nenda sehemu ambayo hatakua na mazoea na mtu yoyote isipokua wewe tu, hataki piga chiniSiishi ukweni kiongozi, ilipaswa uniombe radhi sema ndo vile tena hatuonani wala kujuana humu.
dah usimlimishe Sana ili apate muda wakujipodoa mkuu.ili umpende nahio sauti itapotea. haita kurudia tenaMahindi, mihogo, karanga, njugu...........hayo yanaenda vizuri huku.
HapanaHamna kemistri, humpendi 🥴
Hii hata sio kwa sana, ni kiasi tudah usimlimishe Sana ili apate muda wakujipodoa mkuu.ili umpende nahio sauti itapotea. haita kurudia tena
Niamini hili ninalokuambia, sihitaji unijibu ila niamini tu kwamba, una mchepuko tayari au una michepuko au unagongagonga nje sana, Hali hii mara nyingi (sio zote) hupelekea Hali kama hio kuona au kudhani mtu ulienae sio sahihi (imagination) ni kama aina Fulani ya ukichaa (hallucinations).Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
mkuu ulivyofukuzwa Eden wewe ndo ulitumwa ukalime sa inakuaje tena hapa......Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
Hilo la ukulima sitoenda ndani kwa maana wewe huonekani kama utalielewa kwani nahisi umetokea kwenye zile familia anbazo ni the have ones.Hiyo namba 5 eti si mwenye kulima ipasavyo! kwani wewe ulioa ili mkeo aje kua mkulima?
Tatizo lako kubwa hapa una kale katabia kakujifanya "Mtawala fulani"
Kingine kinachokusumbua ni wivu wa kijinga,
Hata ukija kua na mwanamke mwingine,tatizo lako litakua lipo pale pale,hapo anayetakiwa kubadilika ni wewe na sio huyo Mwanamke,
Nilisahau,hivi una umri gani vile?
pia na kama hela zimepelea.Niamini hili ninalokuambia, sihitaji unijibu ila niamini tu kwamba, una mchepuko tayari au una michepuko au unagongagonga nje sana, Hali hii mara nyingi (sio zote) hupelekea Hali kama hio kuona au kudhani mtu ulienae sio sahihi (imagination) ni kama aina Fulani ya ukichaa (hallucinations).
Pili, huenda hauko busy sana na kujikuta marafiki ulio nao mkiongea mambo ya wanawake au ngono zaidi (to be specific) kuliko kuongea na kujadili mambo ya msingi.
Tatu, umri wako pia huenda ikawa matatizo
Nne, your family background matters a lot...