jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
NDIO maana nikamuuliza umri wake, hahaaha huyu hamna kitu hapaWatu wanakukejeli kwa sababu huna sababu za msingi hapa,,,,,
Ndoa yako imetulia ina amani kabisa na mmejaliwa katoto unakuja kusema eti amezoeana na mama yake ? Ngoja azoeane na vidume wenzio ! Ety anavaa madela si anajistiri ? Ngoja siku ashindie chupi si ndo unataka ?
Grow up man! Mshukuru Mungu una mke mzuri, ukitaka asie na kasoro hayupo labda umchonge wa Kwako !
babe huyu itakuwa wivu kupitiliza unamsumbua.Nakazia...
Huyu kamchoka mkewe, sababu zake hata hazieleweki.Sasa kuvaaa deraa ni tatizoo..sasa ingekuwaa Kama sisi wavaa vimin..suluari na vipensiii...😅😅😅sijaonaa tatizoo
Mkuu kabla sijatoa ushaur wangu,naomba uwe mkweli juu ya hili ninalotaka kujua,litanidhibitishia kile ambacho naona ni tatizoNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Nimeelewa ndio maana nimecomment nilivyocomment,unadhani nini hakijaeleweka hapo?Ungeelewa kwanza kabla ya kutukana, mdau!
Basi sawa nimeona 😂Yah, voice from within
Kama hajui kulima, Piga chini, wanawake wako wengi sana.Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Mbavu sinaa huku!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! " Ukisikia tena hio sauti ongeza volume" 🤣🤣🤣🤣!!Hayo majibu ya wachangiaji Sasa...
Katika maisha ya kuishi pamoja, ukifanya makosa! Utapata tabu sana. Kuwa na msimamo.Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.