Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

Watu wanakukejeli kwa sababu huna sababu za msingi hapa,,,,,

Ndoa yako imetulia ina amani kabisa na mmejaliwa katoto unakuja kusema eti amezoeana na mama yake ? Ngoja azoeane na vidume wenzio ! Ety anavaa madela si anajistiri ? Ngoja siku ashindie chupi si ndo unataka ?

Grow up man! Mshukuru Mungu una mke mzuri, ukitaka asie na kasoro hayupo labda umchonge wa Kwako !
 
NDIO maana nikamuuliza umri wake, hahaaha huyu hamna kitu hapa
 
Mkuu mbona hapo sioni kosa la huyo mwanamke ni hofu yoko tu mkuu kama anakupa heshima zote kama mume endelea kuishi nae na umvumilie, japo kazi sana kuwaelewa hawa viumbe mimi mwenyewe wangu leo nimemuachia mji kifupi nimesepa na kuanzisha maisha mapya 😏😏
 
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.

Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.

Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;

1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),

2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),

3. Kuzoeana sana na mama yake,

4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,

5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),

6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).

Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!

Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Mkuu kabla sijatoa ushaur wangu,naomba uwe mkweli juu ya hili ninalotaka kujua,litanidhibitishia kile ambacho naona ni tatizo

Huwa unajisikia kusex nae au kama unajilazimisha?
 
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.

Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.

Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;

1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),

2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),

3. Kuzoeana sana na mama yake,

4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,

5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),

6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).

Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!

Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Kama hajui kulima, Piga chini, wanawake wako wengi sana.
 
Mkuu isikilize sauti ya ndani tafadhali ndio wewe anayekuambia kukuhusu wewe.
Pitia hii hapa Kama utaweza elewa English.

In combat situations often there is no time to deliberate about decisions. Gut instinct has been found to fill in the gaps that reason can't get at. And they teach intuition as part of decision making. It is this knowing without knowing how you know. I study the military because of their interest in peak performance under the stress of the battlefield and they have a lot of money and very smart minds to produce performance under pressure. Much better than most of the academic research .Reason and instinct really need to be taught how to work together in a our mind. The problem is that reason appears to be reasonable until it is put to the test. Then you find that it is slave to emotion. Without really learning how to work with your instinctual emotional nature, we typically work with half a brain and limited capacity to act under conditions of uncertainty.
 
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.

Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.

Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;

1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),

2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),

3. Kuzoeana sana na mama yake,

4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,

5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),

6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).

Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!

Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Katika maisha ya kuishi pamoja, ukifanya makosa! Utapata tabu sana. Kuwa na msimamo.
Kama humtaki binti wa watu, malizana naye mapema. Acha kabisa kumpotezea muda na pia kumtafutoa kasoro! Maana kila binadamu ana mapungufu yake.

Sababu zote ulizozitoa hapa, ni za kawaida sana! Na pia zinarekebishika! Hivyo achana hivyo visingizio vyako vya kitoto.

Usikute kuna mwanamke mwingine wa jirani ulipo/kazini/unakofanyia shughuli zako! ameanza kukuvuruga. Sasa ukikosa msimamo, utakuja kujilaumu na kujuta maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom