Naombeni ushauri ndugu zangu

Ukiwa wewe ni shujaa na mwenye nguvu UTASAMEHE na KUSAHAU.

Ukiwa wewe ni mwerevu na una hekima UTAPUUZA na KUSONGA MBELE.

Ukiwa wewe ni dhaifu na hujitambui
UTAENDELEA KUUMIA na kufikiria Kulipiza KISASI.

Chaguo ni lako.
 
Mlevi, mtoto au mwenye hasira akikuambia neno zingatia sana.

Ukiwa na hasira kali jitahidi sana kuchuja unachoongea.

Sina cha kukushauri.
Duh..mwenzetu kavuruga sana. Haya mambo unakufa nayo rohoni. Ilibidi atengeneze ndoa yake mpaka hana wa kumzidi mume wake, wengine wote aone walikuwa wanampaka shombo
 
Duh..mwenzetu kavuruga sana. Haya mambo unakufa nayo rohoni. Ilibidi atengeneze ndoa yake mpaka hana wa kumzidi mume wake, wengine wote aone walikuwa wanampaka shombo
Anamwambia kidude chake kinaelea tu hakimtoshi km cha ex wake
 
Kijana ambae bado hujaoa Jamani kama mchumba sio bikra usioe, acha kabisa achaaa, siku moja utakuja kuelewa tunamaanisha nini tukisema ivo.
Kupata bikra enzi hizi ni ngumu sana, wapo wachache sana siku hizi wasichana wanaanza mapenzi ktk umri mdogo sana, ukisubiri kupata bikra utazeeka tu
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…