BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Yaan wawili tu 😑Doooh,huko mbali Sana mkuu... wawili tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan wawili tu 😑Doooh,huko mbali Sana mkuu... wawili tu
Zaidi hapana,tukifa watateseka mno,wachache wanagawika kwa nduguYaan wawili tu 😑
Kwa hio nikupe wawili kisha nisepe 😑Zaidi hapana,tukifa watateseka mno,wachache wanagawika kwa ndugu
Yeah sureKwa hio nikupe wawili kisha nisepe 😑
Sure mlevi, mtoto na mwenye hasira wakikufungukia kitu usipuuze yaan wanakupa za uso bila chenga mule muleMlevi, mtoto au mwenye hasira akikuambia neno zingatia sana.
Ukiwa na hasira kali jitahidi sana kuchuja unachoongea.
Sina cha kukushauri.
Kwani sasa hivi unao wawili au mmoja 🙄Yeah sure
Wee kwa hio nikutie mimba zingine mbili kisha nisepe 😑Wawili mkuu🥴
🤣🤣🤣🤣 Mbona unakazia 🙆 siku njemaWee kwa hio nikutie mimba zingine mbili kisha nisepe 😑
Duh..mwenzetu kavuruga sana. Haya mambo unakufa nayo rohoni. Ilibidi atengeneze ndoa yake mpaka hana wa kumzidi mume wake, wengine wote aone walikuwa wanampaka shomboMlevi, mtoto au mwenye hasira akikuambia neno zingatia sana.
Ukiwa na hasira kali jitahidi sana kuchuja unachoongea.
Sina cha kukushauri.
Wamejaa kibao yeye tu na fuko lake la pesaYah huko nahisi huwezi kosa bikra
Nmekazia nikutie mimba mbili nisepe 😑🤣🤣🤣🤣 Mbona unakazia 🙆 siku njema
Huku mjini uongo kabisaWamejaa kibao yeye tu na fuko lake la pesa
Anamwambia kidude chake kinaelea tu hakimtoshi km cha ex wakeDuh..mwenzetu kavuruga sana. Haya mambo unakufa nayo rohoni. Ilibidi atengeneze ndoa yake mpaka hana wa kumzidi mume wake, wengine wote aone walikuwa wanampaka shombo
Hakuna mjiniHuku mjini uongo kabisa
Kupata bikra enzi hizi ni ngumu sana, wapo wachache sana siku hizi wasichana wanaanza mapenzi ktk umri mdogo sana, ukisubiri kupata bikra utazeeka tuKijana ambae bado hujaoa Jamani kama mchumba sio bikra usioe, acha kabisa achaaa, siku moja utakuja kuelewa tunamaanisha nini tukisema ivo.
Tushamaliza kuongea mbonaNmekazia nikutie mimba mbili nisepe 😑
😆😆😆😆mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri kitandani kuliko mimi
Kwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri
Hivi unaanzaje kuunda mdomo, koromeo na ulimi kutamka maneno hayo kwa dear husband?? Mtu unayetakiwa kumsifia anajua.. mwenzetu ameshamvuruga. Hatuna cha kumsaidiaAnamwambia kidude chake kinaelea tu hakimtoshi km cha ex wake