White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili
“
Sharti langu ni kwamba nikiwa mpnz wako hutauona mwili wangu tenaaa mpk nikuone una malengo kweli.Yaani kiufupi tukishafungaa ndoaa au mimi kutambua familia yako na wewe kutambua yanguu
Ivoo usitegemeee ntakuvulia nguo tenaa”
Nifanyeje hapa wanajukwaa?