Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

Si mchezo
 
Hukustahili kupewa huo mshahara ndio maana ulichanganyikiwa na matumizi
 
Karma,bajeti inatoka ununue kilo 200 za mchele wewe unanunua kilo 100.
Usijilaumu hela ya madili huwa ni ya kustarehe,ulinunua gari gani kijana?
Sio kweli maana viongozu wote wa serikali wana mali kwa pesa ya madili maana mishahara yao hailingani na mali walizo nazo
 
Umetapanya pesa okay.. Ishu umetengeneza connection au ndo yule ulihisi madaraka ndo kila kitu?
Wema akiba
 
Ubarikiwe mkuu,ww ni GT
 

fungua ka danguro kadogo
 

10Mil *6= 60 milion

sijawai shika iyo pesa
 
...... Lakini shida ilianzia ulipoanza kugoma kwenda church ukiambiwa na wazazi rudi kwenye thread zako kazipitie vizuri ...
Sijakuelewa KANISA LINAAMUAJE MSHAHARA na BIASHARA na MAAMUZI YA PESA YA MTU?

#YNWA
 
Tatizo unadhania maisha ya binadam ni static wakati ni dynamic any time yanachange.
This is a story of from zero to hero to zero again
 
Ukitoa usista duu na u slay queen fanya hivi.
Ingia vijijini sehemu kama mpanda, katavi, sikonge, Kaliua nunua mbuzi na baadhi ya vijijj kahama hapa namaanisha maporini vijijini ndani huko mbuzi ni 50000 na ngombe ni 200000 kanunue peleka vingunguti huko wateja wanakusubiri wewe. Inshu ya usafiri ukifika huko utakuta wafanyabiashara wengi wakubwa na wadogo so usafiri huwa wanachanga na unakua nafuu. Fanya hio kazi uendelee kula bata!
 
kama uliipata hiyo kazi kwa kuwa na tako kubwa basi litumie hilo tako kupata kazi ofisi nyingine
 
Sijakuelewa KANISA LINAAMUAJE MSHAHARA na BIASHARA na MAAMUZI YA PESA YA MTU?

#YNWA
Kanisa kuachana na mambo ya iman kila mtu ana iman yake ila kwenye nyumba za ibada asilia kubwa hufundisha maadili


According tu mtoa mada alikosa nidhamu ambayo ni mapungufu ya maadili
 
hahaha dah sicheki kwa kuwa nimefurahi kurudi kuwa masikini nimecheka kwa kusema ''ninawalaumu wanaJf maana hamkunishauri vizuri na sasa mdogo wenu narudi kwenye umasikini'' AHAHAHAHHA AHAHA HAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…