nimekula hela ya kula
Member
- Nov 10, 2024
- 14
- 55
Ushauri sina ila jina lako limenifurahisha.Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.
Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.
Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku
Jinsia mwanaume miaka 28 Natanguliza shukrani za dhati Kwa maoni mtakayotoa
Nipo Dar es salaam mkuu. Pia shughuli au biashara iwe ya dar es salaam siwezi kwenda mikoa ya mbaliUpo Mkoa gani Mkuu?
Mchokozi 😂Ushauri sina ila jina lako limenifurahisha.
View attachment 3622643
Lete mawasiliano tupitishe bakuli humu tukuongezee kamtaji!
Mchokozi 😂
Loooh,hiyo alfu hamsinj si itaisha kula yeye na kuku,inabidi apate ya kumuingizia pesa sio kuwekA, hao kuku Kuna kuumwa,kama huko uswahilini wanaiba🥹Nunua mitetea miwili na jogoo mmoja wa saizi ya kati fuga, watage halafu wataamishie , weka mayai 15 kwa 15 kwa kila mtetea , watoto utakaowapata wafuge
Kwenye uchumi ukishaweka neg unafeli mawaaLoooh,hiyo alfu hamsinj si itaisha kula yeye na nunu,inabidi apate ya kumuingizia pesa sio kuwekA, hao kuku Kuna kuumwa,kama huko uswahilini wanaiba🥹
Nimekuelewa.Kwenye uchumi ukishaweka neg unafeli mawaa
Amesema hana elf 50 au ana elf 50 ya mtaji?Uza hiyo simu unayotumia kuandika Uzi hapa uongeze mtaji
Simu utanunua ukishajipata
Kama huna elf 50 hupaswi kumiliki smart phone
Hiyo ya kuku nilivyomaliza chuo niliifanya , ndani ya miaka kadhaa nilifika kuku 1000 na zaidi wa kienyeji pure, ila niliongeza hiyo pesa kidogo tuNimekuelewa.
Mwaka mzima kutoboa hii project ni ndefu sio ya leo kesho na 50 kupata tetea 2 na jogoo 1 labda vifarangaNunua mitetea miwili na jogoo mmoja wa saizi ya kati fuga, watage halafu wataamishie , weka mayai 15 kwa 15 kwa kila mtetea , watoto utakaowapata wafuge
Nakuomba Kwa moyo mmoja mkuu kesho tukutane nikuuzie hii simu. Ni Infinix Smart 7.Uza hiyo simu unayotumia kuandika Uzi hapa uongeze mtaji
Simu utanunua ukishajipata
Kama huna elf 50 hupaswi kumiliki smart phone
20 elfu unachukua ,? nataka nimhonge mchumba humuNakuomba Kwa moyo mmoja mkuu kesho tukutane nikuuzie hii simu. Ni Infinix Smart 7.
Naishi maneno ya Gongo la mboto
ngara23Nakuomba Kwa moyo mmoja mkuu kesho tukutane nikuuzie hii simu. Ni Infinix Smart 7.
Naishi maneno ya Gongo la mboto