Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.

Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.

Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku

Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es salaam
Natanguliza shukrani za dhati Kwa maoni mtakayotoa
Jina la ID yako linachekesha sana .
 
Hii inabidi usiwe mpenda nyama na mayai😂,mie nashindwa hapa tu,

Na inasolve shida ndogo ndogo,
Futa hiyo mind ya ufugaji una solve shida ndogo ndogo , ufugaji ni uwekezaji mkubwa ,unafanya mambo makubwa kupindukia.

Hii mind ya ufugaji unasolve shida ndogo ndogo, imefanya watu wengi kufuga kwa mazoea.
 
Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.

Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.

Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku

Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es salaam
Natanguliza shukrani za dhati Kwa maoni mtakayotoa
Mkuu unakitika Cha 50000.jalibu kutafuta chimbo hasa uswahilini kama manzese,mabibo pand za viena hotel haza kukaanga kuku na kuuza vigodi haza broiler 2=16000,jiko nenda watu Wana uza used 10000 utapata,ndizi na viungo nenda soko la mabibo 10000 manzanga yote yanatosha, then jitahidi kuwa msafi na mcheshi “tabasamu” NOTE 🚫 mteja hatongozwi hiii biashara wateja wengi ni wanawake
 
Amka usingizini kapige kazi acha kulia lia. Kuna kazi nyingi jitoe ufahamu
 
Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.

Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.

Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku

Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es salaam
Natanguliza shukrani za dhati Kwa maoni mtakayotoa
Safiri uende Mwanza. Fursa ni za kumwaga pale!
 
Dar upo maeneo gani iyo ela ni kubwa sana unaweza ukotoa faida 10000 ad 15000
 
Tafutq delli nendq maeneo ya masokoni uza matunda
 
Futa hiyo mind ya ufugaji una solve shida ndogo ndogo , ufugaji ni uwekezaji mkubwa ,unafanya mambo makubwa kupindukia.

Hii mind ya ufugaji unasolve shida ndogo ndogo, imefanya watu wengi kufuga kwa mazoea.
Eeh,unafanya vitu vikubwa hasa,mf.kuku mmoja elfu 25/30 ukiuza kuku mia Moja?
 
Back
Top Bottom