😄Mkuu ulishajaribu kubeti, huku mtaji hadi shilingi mia inaweza kukufanya ukawa milionea, karibu tutafute odds mkuu
Onhoo sawa, nilitaka kujua Mkoa ili nitoe ushauri kutokana na eneo ulipoNipo Dar es salaam mkuu. Pia shughuli au biashara iwe ya dar es salaam siwezi kwenda mikoa ya mbali
Amen kila la kheri kwake. Afuamsini izae maradufu
Yaani,ni uzembe tu,vijana tunataka kuajiriwa😂Sasa je😁 na sio kuku tu ,manyoa yake ni pesa , mavi yake ni pesa tupu hizo
Elfu 2 na mia tano hapo kwa siku iko wapi kwenye hiyo mitetea au mayai?Nunua mitetea miwili na jogoo mmoja wa saizi ya kati fuga, watage halafu wataamishie , weka mayai 15 kwa 15 kwa kila mtetea , watoto utakaowapata wafuge
Nimeongelea uwekezaji wa mda mrefu , wenye tija , hiyo ya 2500 nimelipotezeaElfu 2 na mia tano hapo kwa siku iko wapi kwenye hiyo mitetea au mayai?
Kwamba hapo Mwanza sasa hv wote matajiri kupitia hizo fursa?Safiri uende Mwanza. Fursa ni za kumwaga pale!
Wazo zuri sana ,nimeifanya hii biashara miaka ya 80s.Uza bahasha. Nenda kisutu wanapouza makaratasi kwa kilo. Kilo 1 elfu 1300. Anza kutengeneza bahasha wauzie watu wa famasi, wauza duka la vipodozi, wauza chipsi.
We jamaa mjinga sanaNunua mitetea miwili na jogoo mmoja wa saizi ya kati fuga, watage halafu wataamishie , weka mayai 15 kwa 15 kwa kila mtetea , watoto utakaowapata wafuge
Kwa nini ni mjinga mimi?We jamaa mjinga sana
Yap. Ni nzuri kwa mtaji mdogo akienda pale soko la kisutu upande wa chini (godowns) Kuna wadau wanauza makaratasi aende na gunia la kufungasha mzigo. Akirudi home atafute unga wa ngano aupike kama anavyopika uji Ili autumie kama gundi atengeneze vifungashio auze bahasha 30 kwa buku.😤Wazo zuri sana ,nimeifanya hii biashara miaka ya 80s.
Mtu anayeanzisha uzi wa kipumbavu anastahili kupata comments za kipumbavu. Hiyo 50,000/= yake haitoshi hata gharama ya kumfikisha Mwanza!Kwamba hapo Mwanza sasa hv wote matajiri kupitia hizo fursa?
Kwamba watu wote wa Mwanza wana kazi kupitia hizo fursa hvy hakuna jobless?
Kuna app inaitwa Leonbet, unaifaham??Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.
Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida.
Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku
Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es salaam
Natanguliza shukrani za dhati Kwa maoni mtakayotoa
min -meKama upo Gongo la mboto,tafuta kasehemu chenye mzunguko wa watu tengeneza meza ya kuunga uunga mbao ili usitumie pesa ya msingi ,nenda ilala nunua matikiti yale makubwa wanauza elfu 6 moja ,nunua matano ,nunua kisu cha buku mbili ,vifuko vya nylon vidogo vidogo vya kufunukia vipande vya tikiti,dumu la lita 20 empty ili uwekee maji na jagi dogo...Hapo roughly utatumia 35.
Tikiti moja ukikata vipande unapata elfu 12 yaani faida ni Elfu 6 ,ukiweza kuuza kwa siku yote matano means unaingiza "ThalaTha" kama faida kwa siku.
Unataka kusemaje mkuu 😂Kuna app inaitwa Leonbet, unaifaham??