brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
#ndio, sioni sababu ya kudanganya.Ni kweli mathematics umepata A?
#asante sana kwa ushauri wako.Kwa akili zangu mbovu kasome diploma ya computer science then ujitume mwenyewe vizuri bila kutegemea waalimu utakuja kunishukuru baadae
#asante pia kwa ushauri wakoNenda chuo kama unaweza angalia vyuo kama ardhi, vya ufundi, bandari na mambo ya meli afya sijaiweka kwa sababu zangu binafsi ila unaweza kuangalia pia course mpya
#vipi kuhusu ajira zinapatikana kwa izo kozi??Mkuu nakushauri achana na Mambo ya Advanced Level Nenda Chuo Kama Ada Ipo.
Nenda Chuo cha Ardhi University, DIT ,au DMI kule bandari.
Kuna kozi nyingi zinakufaa Kama kweli Una A ya Maths.
Zipo Mkuu,#vipi kuhusu ajira zinapatikana kwa izo kozi??
#na saivi umeajiriwa wapi??Zipo Mkuu,
Mm nilisoma Ardhi University kitambo.
Hivi ukisoma Ardhi huwezi kujiajiri kwenye Real Estate kweli?#na saivi umeajiriwa wapi??
#asante kwa ushauri wako.Hivi ukisoma Ardhi huwezi kujiajiri kwenye Real Estate kweli?
Hizi akili za kuajiliwa mtaziacha lini? Ardhi kubwa Tanzania bado haijapimwa kawatongozeni wakurugenzi mawilayani muingie mikataba ya kuwapimia Ardhi zao na kugawa viwanja.
#nashukuru sana kwa ushauri wako.Nakushaur nenda kasomee unesi au hata ukunga huwez kukosa ajira watu wanaumwa kila siku na huwez mkuta nesi mtaani hana ajira kama izo kada nyengine
Naunga mkono hojaNakushaur nenda kasomee unesi au hata ukunga huwez kukosa ajira watu wanaumwa kila siku na huwez mkuta nesi mtaani hana ajira kama izo kada nyengine
Ni wazo zuri, lakini je asipo ajiriwa anaweza akajiajiri?Kasome diploma kwenye chuo cha madini course either geology, mining, mineral processing au hata hydrogeology zitakusaidia maana Kadri siku zinapozidi kwenda sector hii inafunguka zaidi
Yaani lugha yako Mama unapata C sawa na masomo magumu? Basi wewe inabidi tu uwe kibaka.Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A.
Umri wangu ni miaka 24
Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa?
Na Kama nikienda advance kusomea PCM au PCB, nini faida yake nikienda advance kuliganisha na chuo moja kwa moja.
Naomba ushauri wenu πππ
Uchawi huu sasa, unatumia oxygen vibaya mkuuYaani lugha yako Mama unapata C sawa na masomo magumu? Basi wewe inabidi tu uwe kibaka.