GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Kasome diploma ya clinical officer,Nursing,Pharmacy,Lab Technician,hizi fani huwezi kukosa KAZI Mtaani kuna Dispensary kibao binafsi,Mashirika Kama MDH,ICAP, RED CROSS ukichangamka na Diploma yako unakula maisha nje ya serikali hizo Dispensary ni za kujishkiza tu KWA kuanzia ila hayo Mashirika ndio kuna lifa hapo,pia utakuwa unatega na ajira za serikali.
Au Ualimu,IT kwa ulimwengu wa sasa Tehama ni msingi wa karibu mambo yote lakini unaweza kusota sana mpaka kutoboa kikubwa kujituma.
Au Ualimu,IT kwa ulimwengu wa sasa Tehama ni msingi wa karibu mambo yote lakini unaweza kusota sana mpaka kutoboa kikubwa kujituma.