young_stunner
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 374
- 551
Umeua kuna mwanaume fala kiasi ichoHaya ndo madhara ya kujifanya wewe mtu wa Mungu saaaaana,,
Sasa haya mambo ya uchumba et mpaka muoane ndo mle tunda[emoji3]
Ntarudi baadae kushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii njia ndio inajulisha hasa Due date bila kukisiakisiaHalafu huu utaratibu naona kama haufai vileee.... Kwanini iwe hivi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba inaanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kwanza anapoingia hedhi yake ya mwisho. Hivyo kwa mahesabu hayo ina maana ultrasound itaanza kuonyesha kuanzia wiki 6 ambapo kiuhalisia mimba inakua na wiki 4. Kwa maelezo yako, hiyo mimba ya wiki 7 ni sawa kabisa wala hajadanganywa.sikuwa na ufahamu huu, nitaunganisha baadae....lakini anasema walitumia ultra sound
Kuomba ushauri wa ndoa kwenye mitandao hakujawahi kuiacha ndoa salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi wanahesabu tarehe ya kwanza ya kuona period. So wakati wewe unadhani mimba ina wiki 4 (mwezi) wao wanakwambia ina wiki 6 au 7. Na ndicho kilichotokea kwa huyu jamaa ambae amepanik.Kwa sehemu kubwa hiyo mimba ni yake. Umri wa mimba huhesabiwa kuanzia tarehe ya mwisho kuona siku zake mwanamke. Na sio siku aliyolala na mume.
Suala la pili ni kuwa, kama walitumia ultrasound, nayo pia huweza kuwa mbele ya muda au nyuma ya muda. Asimsingizie uzinzi binti wa watu. Kama ànaona sio wake, asubiri azaliwe na kisha mtoto akikua ataambiwa baba yako aliwahi kukukataa ukiwa tumboni.
Pia, humu watu hawana hata ndoa wala hawana uzoefu mambo ya uzazi lkn wamekimbilia kutoa ushauri! Mnaweza vunja ndoa, kama huna weledi wa suala fulani sio lazima kuweka comment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga ni wewe uliyeugundua huu ujinga. Pumbaaaavu
Pole sana.Nakubaliana na wewe mkuu.
Nami niliachwa kwa style hii, nikalea mimba kwa aibu na sononeko la kusingiziwa uzinzi kabla ya ndoa.
Basi mtoto kaja copy right na bwana yule. Ndio akaanza ooh nisamehe, maneno ya watu na bla bla kibao.
Nikamwambia kaoe hao watu mimi niache hivi hivi. Sikuweza kumsamehe nikabaki singo maza.
Hivyo za kuambiwa changanya na zako.
Ndo wale waleAjifanye kama hakuna lolote
Ngoja nami nianze udukuziWaache wapige tu kelele.. me kila demu wangu lazima nimdukue... siyo siku naletewa magonjwa ndani halafu nabaki nashangaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo. Umalize tarehe kumi. Upate mimba tarehe 29. Watu kama nyie ndo hamfaiKama mwanamke kamaliza MP ya mwisho tarehe 10 akaja kupata mimba tarehe 29 , hospital wanaanza kuhesabu kwanzia tarehe 10 na sio 29. Hivyo ukianza wewe kuhesabu tarehe 29 unaweza hisi mkeo alidanganya.
Kuna uongo gani hapo? Watu wana mizunguko tofauti... au umekariri ile ya kwenye kitabu siku 28?Acha uongo. Umalize tarehe kumi. Upate mimba tarehe 29. Watu kama nyie ndo hamfai
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza shule kwanza.Acha uongo. Umalize tarehe kumi. Upate mimba tarehe 29. Watu kama nyie ndo hamfai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kutokana na imani yao ya Kiislamu. Taratibu za kiimani ya kiislamu hutakiwi kuchelewesha ndoa wenyewe wakisharidhiana.Uchumba miezi 4? Alikuwa ana haraka gani na ndoa? Pole yake..alee mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
That's ma name, niambie Behaviourist.Paula Paul!