Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

Moja kwa moja .

Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa kwetu sisi Waislamu.

Seriously , sitaki kuchelewa kuoa na kutokana na harakati za masomo nilipiga hesabu na kuweka azma kuwa nikifika umri wa miaka 25 In Shaa Allaah rasmi nioe.

Sasa katika harakati zangu bado sijafanikiwa kupata waifu material yaani chaguo sahihi la kuoa , ila baada ya kupitia Jf nikaona MaBint wa Kimeru wanasifiwa kwa uzuri na wengi wanaosema kuwa hawana makandokando mengi, basi nimeona nifanye mipango Nipige hodi kwa kina Maghayo The Mongolian Savage nivute Chombo safi kutoka Sing'isi meru..

Dada yangu Shadeeya ; nampa kazi ya kufundisha Bibi harusi mtarajiwa mambo mbalimbali kuhusu Uislamu.
Ewaaa! Usijali mdogo wangu niko tayari kikubwa tuambiane tu mambo yakishaiva.
 
😅😅😅 Tunaomba tu tarehe ya tukio halafu Maghayo niachie mimi 🤣
Jombis ananitembezea maDislikes sasa anapatikana Kama The Mongolian Savage ile ya Busu la Kenge Alpha team wamefanya umafia ipo kifungoni
IMG_20250904_203313.jpg
 
Kuanzia sasa nawajulisha Apha Team wote wakina Razorblade kuwa Ghayos Mongolian Gang sio maadaui zetu tena na tunapaswa kuwalinda kwani ni Shemeji zetu na kuanzia mtu akichokoza Ghayos Gang tunaruka nae .

Maghayo
GHAYO
Ghayo TheMongo Barbarian
The Mongolian Savage
Na Busu la Kenge

Hilo ☝️ kosi la Ghayos Gang sasa sisi Alpha team tumeform Marital Alliance waheshimiwe na walindwe.
Sisi tupo kazini muda wote iwe kwenye kujenga au kubomoa.

Watalindwa na kuheshimiwa.

Intelligent businessman Selikavu dosho12 Edo kissy
 
Back
Top Bottom