kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Safi shemu wifi hajambo?Safi mamtu wa Edo unaendeleaj boss wetu??
Safi shemu wifi hajambo?Safi mamtu wa Edo unaendeleaj boss wetu??
Mkuu umri wako achana na mambo ya ndoa, usije kufa vibayaMoja kwa moja .
Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa kwetu sisi Waislamu.
Seriously , sitaki kuchelewa kuoa na kutokana na harakati za masomo nilipiga hesabu na kuweka azma kuwa nikifika umri wa miaka 25 In Shaa Allaah rasmi nioe.
Sasa katika harakati zangu bado sijafanikiwa kupata waifu material yaani chaguo sahihi la kuoa , ila baada ya kupitia Jf nikaona MaBint wa Kimeru wanasifiwa kwa uzuri na wengi wanaosema kuwa hawana makandokando mengi, basi nimeona nifanye mipango Nipige hodi kwa kina Maghayo The Mongolian Savage nivute Chombo safi kutoka Sing'isi meru..
Najua haitokuwa rahisi kutokana utata na upinzani wa Maghayo ila Mimi Hilo halitanirudisha nyuma nimeeandaa timu ifuatayo kuhakikisha yote yanaenda sawa from A to Z ;
GENTAMYCINE ; kunipigia rada za kijasusi jinsi ya kumStop Maghayo ambaye ni kikwazo na kurahisisha mipango.
Selikavu ; huyu kutoka Apha team atakuwa kama mwanasheria wangu na jopo lake kuhakikisha mambo ya kisheria yanakuwa sawa navuta jiko.
Dada yangu Shadeeya ; nampa kazi ya kufundisha Bibi harusi mtarajiwa mambo mbalimbali kuhusu Uislamu.
Nitaambatana na jopo la Wazee likiongozwa Ushimen ili itifaki zizingatiwe kwa Wazee wa kijii na Wazee wake Maghayo .
Binti wa zamani ; atakuwa kitengo cha kumfunda mwali.
Dumas the terrible , Beira Boy Intelligent businessman hawa watukwa escort team yangu Incase of any threats from Ghayos Gang in Meru or abroad to counteract it effectively.
Naombeni ushauri wana Jf kuelekea mission yangu hii na mengineyo ya kuchukua tahadhari na kufanya ili kukamilisha.
Ni ,Mimi Gun man from Joseon Adriz The Consigliere
#UziTayari
Muache aoe apate changamoto mpya.Mkuu umri wako achana na mambo ya ndoa, usije kufa vibaya
yeah apo ni fact mkuu,anyway KUBALI NDOA wameanza ligi kwa kasi, unbeaten mpaka now. 2025/2026Zinaa ni kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio Mme wako au Mkeo kihalali.
Sasa ukiwa haujaoa na mambo yamekuzidia ni rahisi kuzini tofauti ukiwa umesoa simple unaenda kwa Mkeo kuzidhi haja za matamanio chap , japo wahuni ambao hawatosheki hawakosekni katika kila sekta
tena wewe una piga hadi viziwi, mabubu na vikongwe 😂😂Mimi mtawa kwenye uzinzi nitoe 😂
Mimi ni detective 007 (tamka dabo ziro seven) Vishu Mtata tegemezi kabisa.Nasubiri maoni ya binti kiziwi na Vishu Mtata kama washauri wangu
Pamoja sana Kaka nashukuru sana.Mimi ni detective 007 (tamka dabo ziro seven) Vishu Mtata tegemezi kabisa.
Nenda kaoe, Busu la Kenge na genge lake hawawezi kukuzingua.
Timiza nusu ya dini kaka.
Hajambo kabisa yupo anazimaliza nyuzi za Jf aje anipe summary baadae😃😃Safi shemu wifi hajambo?
Kaka si unaelewa kazi za bill na mwanae Kiwembe 😃😃😃Duh! Mwanangu Selikavu siku zote najua yupo single kumbe tayari kashavuta pisi Jf kimya kimya .
Naomba unitajie Jimbo lake ili niimarishe ulinzi lisivamiwe ..
😅😅wacha weee hongereniHajambo kabisa yupo anazimaliza nyuzi za Jf aje anipe summary baadae😃😃
Nani kakwambia inatakiwa hivyo mkuu?Nipe sababu mkuu , mbona naona nimechelewa ilipaswa 23 au 22 niwe tayari nishaoa
Tokea asubuhi Leo sijawa Jf nimeingia now nimekuta hot news kuhusu Jf kuvamiwa ofisini kwao mara Britannica kumuita Melo PM duh!Hajambo kabisa yupo anazimaliza nyuzi za Jf aje anipe summary baadae😃😃
Asante mamtu wa Edo 😃😅😅wacha weee hongereni