Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

Tokea asubuhi Leo sijawa Jf nimeingia now nimekuta hot news kuhusu Jf kuvamiwa ofisini kwao mara Britannica kumuita Melo PM duh!

Oya Alpha team lindeni mbupu zenu tuwachokoze tu wakina Maghayo The Mongolian Savage na tukomae na kina JangHyuk kwenye uharakati wa siasa tuwe makini maana naona kijana wetu Bill The Don hana uwoga kabisa anarusha makombora mpaka state house.
😃😃😃Me kwenye siasa nishatoka huwa napita mara moja moja tuu
 
Ewaaa! Usijali mdogo wangu niko tayari kikubwa tuambiane tu mambo yakishaiva.
Ahsante sana Dada yangu , nimefurahi kuona umelipokea vyema jambo langu , mambo yakiiva nitakutonya mapema tu.
 
Mimi mwenyewe tu napenda challenges, maamuzi magumu na uniqueness..
Sasa mkuu kwa huo umri wa miaka hiyo kijana unatakiwa kujipigania maisha yako, maana ukiongeza jukumu ambalo ni mke unaweza kuna mambo usitimize
 
Moja kwa moja .

Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa kwetu sisi Waislamu.

Seriously , sitaki kuchelewa kuoa na kutokana na harakati za masomo nilipiga hesabu na kuweka azma kuwa nikifika umri wa miaka 25 In Shaa Allaah rasmi nioe.

Sasa katika harakati zangu bado sijafanikiwa kupata waifu material yaani chaguo sahihi la kuoa , ila baada ya kupitia Jf nikaona MaBint wa Kimeru wanasifiwa kwa uzuri na wengi wanaosema kuwa hawana makandokando mengi, basi nimeona nifanye mipango Nipige hodi kwa kina Maghayo The Mongolian Savage nivute Chombo safi kutoka Sing'isi meru..

Najua haitokuwa rahisi kutokana utata na upinzani wa Maghayo ila Mimi Hilo halitanirudisha nyuma nimeeandaa timu ifuatayo kuhakikisha yote yanaenda sawa from A to Z ;

GENTAMYCINE ; kunipigia rada za kijasusi jinsi ya kumStop Maghayo ambaye ni kikwazo na kurahisisha mipango.

Selikavu ; huyu kutoka Apha team atakuwa kama mwanasheria wangu na jopo lake kuhakikisha mambo ya kisheria yanakuwa sawa navuta jiko.

Dada yangu Shadeeya ; nampa kazi ya kufundisha Bibi harusi mtarajiwa mambo mbalimbali kuhusu Uislamu.

Nitaambatana na jopo la Wazee likiongozwa Ushimen ili itifaki zizingatiwe kwa Wazee wa kijii na Wazee wake Maghayo .

Binti wa zamani ; atakuwa kitengo cha kumfunda mwali.

Dumas the terrible , Beira Boy Intelligent businessman hawa watukwa escort team yangu Incase of any threats from Ghayos Gang in Meru or abroad to counteract it effectively.

Naombeni ushauri wana Jf kuelekea mission yangu hii na mengineyo ya kuchukua tahadhari na kufanya ili kukamilisha.

Ni ,Mimi Gun man from Joseon Adriz The Consigliere

#UziTayari
Hivi kumbe kuna wayahudi kutoka Meru?
Maghayo si myahudi yule?
 
Back
Top Bottom