Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

Mkuu umri wako achana na mambo ya ndoa, usije kufa vibaya
 
yeah apo ni fact mkuu,anyway KUBALI NDOA wameanza ligi kwa kasi, unbeaten mpaka now. 2025/2026
 
Hajambo kabisa yupo anazimaliza nyuzi za Jf aje anipe summary baadaeπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Tokea asubuhi Leo sijawa Jf nimeingia now nimekuta hot news kuhusu Jf kuvamiwa ofisini kwao mara Britannica kumuita Melo PM duh!

Oya Alpha team lindeni mbupu zenu tuwachokoze tu wakina Maghayo The Mongolian Savage na tukomae na kina JangHyuk kwenye uharakati wa siasa tuwe makini maana naona kijana wetu Bill The Don hana uwoga kabisa anarusha makombora mpaka state house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…