Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

😃😃😃Me kwenye siasa nishatoka huwa napita mara moja moja tuu
 
Ewaaa! Usijali mdogo wangu niko tayari kikubwa tuambiane tu mambo yakishaiva.
Ahsante sana Dada yangu , nimefurahi kuona umelipokea vyema jambo langu , mambo yakiiva nitakutonya mapema tu.
 
Mimi mwenyewe tu napenda challenges, maamuzi magumu na uniqueness..
Sasa mkuu kwa huo umri wa miaka hiyo kijana unatakiwa kujipigania maisha yako, maana ukiongeza jukumu ambalo ni mke unaweza kuna mambo usitimize
 
Hivi kumbe kuna wayahudi kutoka Meru?
Maghayo si myahudi yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…