Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

Makubwa,anaanzaje kupanga kuwa lazima uoe kabila fulani.Mapenzi huja kwa namna ya ajabu
 
Zile hasira zao na visasi sijui zinasababishwa na nini?
 
Kitu ambacho sina muda nacho kabisa ni inayoitwa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ