Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

Mtimue oa mwingine, hakuna mjadala
Ana uhakika gani kuwa huyo atakayemuoa atakuwa mtulivu. Ogopa sana huyu kiumbe aliyezungumza na Shetani (Joka) ana kwa ana. Ukitaka uhakika, rejea kwa Adam au Samson.

Kuoa nu gudugudu tu, huwezi jua ukifunua uatapa au utakosa.

Huku kwetu tunasema, "mke haachwi isipokuwa kwa uasherati"
Nimenukuu tu Maandiko, ila asimwache, si ameomba msamaha?S "Samehe; sisemi mara saba, bali hata saba mara sabini"
 
Sasa mbona baada ya wewe kugundua ameacha kuteleza? Mwache aendelee kuteleza akielekea kwenye nyumba ya jamaa.
 
Acha uzwazwa jamaa yetu ukitulia na kumlea huyo mtt huyo jamaaa ataendeleza tu kuupiga huo mzigo km unapiga chini piga chin na usigeuke nyuma utageuka jiwe
 
Dah..!
 
Kwa mambo haya yanayoendelea kweli kuoa itakua ngumu duuh
 
😂😂😂 huyo ukimuua hamna kesi mbinguni
 
Watu mnazungumza habari za watoto mnamsahau mtendwa. Hii kitu hawatakuwa na amani maisha yao yote. Hili jambo linaweza tokeza kifo mbele ya safari si la kuchukulia poa
 
Pole kaka na mkasa wako,kwakweli umenisikitisha sana

Kama mwanaume mwenzako, nadhani ni wakati sasa ufanye DNA ya watoto wote 3 ili uwe na uwakika kama wote ni wako. Unaweza kuta hauna mtoto hapo! Mkasa kama wako sio mpya, mwaka huu uko Ghana,jamaa aligundua watoto 3 wote sio wake na mke wake alikuwa amezaa na pastor wao.

Kutokana na historia, check DNA ya watoto wote then utajua jinsi ya kufanya maana unaweza kukuta mke wako ni “mhuni” amekuwa anatoka nje ya ndoa kitambo “behind your back “.

Asante
 
Tunaoa ili tupate Watoto! Usiumize Watoto wako kwa tukio hilo.
Maana ukimfukuza watoto watateseka mno!
Ni kidonda moyoni cha maisha lakini vumilia!
 
Hivi hizi story huwa ni za kweli kabisa?
 
Kataa ndoa; ni utapeli.
 
Tunaoa ili tupate Watoto! Usiumize Watoto wako kwa tukio hilo.
Maana ukimfukuza watoto watateseka mno!
Ni kidonda moyoni cha maisha lakini vumilia!
Sasa aendelee kuzaa naye au amuachie mume mwenzake?
 
Siyo lazima azae naye tena! Lakini asmfukuze kwa faida ya Watoto.
Kiuhalisia huyo kakosa hadhi ya mke. Mwamba anatakiwa apige chini tu kuhusu watoto una assume tu amekufa. Kwani ikitokea leo kafa watoto ndo watakosa haki ya kuishi.
Kusingizia watoto kuteseka ni kutafuta huruma ya kulea ujinga. Piga chini maisha mengine yaendelee inaumiza lakini ni bora kuliko kuendelea kumkumbatia malaya.
 
Mkuu chunguza na hao waliobaki wa 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…