Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

huku una siku 5 haujakata mkuu..kulia kupokezana.
TANESCO ni shirika la kijinga kabisa kuwahi kutokea Nchi hii yaan unakataje umeme zaidi ya masaa 13 kuna viwanda kuna watu wanaendesha maisha yao kwa kutumia umeme, wewe masaa 13+ umezima umeme una akili wewe? Wanaboa sana wajiangalie katika hili wanakera mno
 
acha uboya pima afya kwanza, then piga mimba
 
Jiepushe na mishangazi. Madhara yake hutayaona leo.
 
USijichanganye kabisa. Muulize kwanini msianzishe mahusiano then swala la mtoto lije baadae? Mkomalie hapo then uanze kumchunguza ila msisitize mtoto haupo tayari uone msimamo wake
Haina haja ya maulizo hapo ni kula mzigo kwanza kwa CD then asepe.

Akitaka kuzaa aende kununua sperm kenya huko

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Siku zote watu wenye akili kubwa huwa si waongeaji wazuri na ukiwasikiliza hutotamani kuendelea kuwapa attention kwasababau wanataka waongee kidogo uyaelewe hata yatakayofuata yaani uwe mtu wa kujiongeza sana ila wakiamua kuandika wanaandika kwa ufasaha zaidi kwasababu ya kuathiriwa na kuwa na uwezo mdogo wa ushawishi wa kuongea kwahiyo wanachoandika wanapenda kieleweke bila kuwepo maswali maana hawana uwezo mzuri wa kuyajibu maswali so katika uandishi wao wanakuwa na avoidance kubwa ya kutengeneza maswali japo kupitia kuandika wanayajibu pia kwa usahihi.

Mkuu uwezo wako ni mkubwa sana kuanzia hata kwenye avatar yako kama uliweza kuipata katika umri mdogo kiasi hicho kama haudanganyi lakini maana humu namo mambo ni mengi sana.

Naufananisha uandishi wako na Humble African pamoja na The bold japo siku hizi wote wamepotea jukwaani. Nafurahia sana kusoma makala zako kwani zimetafitiwa vya kutosha na zimeshiba.
 
Na wewe kula mzigo huo kwani ukizaa naye shida iko wapi. Halafu mtoto anayetokana na mwanamke kumtaka huwa anakuwa na akili za pekee sana.

Piga hiyo mbususu ikitokea imeshika mimba haina shida maana watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu achana na usasa sijui watoto wawe wa mama mmoja wewe ni mwafrika achana na usasa wa magharibi.
Mmenisanua aisee ngoja niachane nae
 
Dada yangu umeongea point nzuri, ila kama story ya mtoa mada ni kweli jua kwamba mtoa mada keshalewa na mtego wa papuchi ya bure, wanaume wengi hatuna sexual discipline, tuna njaa sana ya ngono, na Hilo ndo anguko letu wengi Lovelovie
 
Mkuu kama baba yako mzazi yupo hai, ongea na baba yako kuhusu hili swala atakachokujibu kizingatie sana kama alivyosema na usiongeze wala kupindisha chochote.

Nb. Awe baba yako mzazi na siyo baba mlezi
 
Kweli kabisa mkuu mimi Nina low latent inhibition ndio maana
Mkuu uwezo wako ni mkubwa sana kuanzia hata kwenye avatar yako kama uliweza kuipata katika umri mdogo kiasi hicho kama haudanganyi lakini maana humu namo mambo ni mengi sana.
Huyo kwenye avatar wamfahamu?? Sidanganyi kabisa
Naufananisha uandishi wako na Humble African pamoja na The bold japo siku hizi wote wamepotea jukwaani. Nafurahia sana kusoma makala zako kwani zimetafitiwa vya kutosha na zimeshiba.
Nashukuru kwa kusoma mada zangu sir
 
Kama huna hela nakushauri achana nae utakuja kufs kifo kibaya sana maana atakubadilikia tu hawaaminikagi hao
 
Da' vinci nampata kiasi fulani ila kupitia maandiko yenu humu jf ni mchoraji na mwanamahesabu mkubwa sana hapa duniani ndo kabadilisha sana sanaa ya dunia ya uchoraji na ni mkongwe wa architecture drafting
 
Mkuu mlete haraka huyo Junior, muda wa kutoka kiunoni umefika.


Aje aendeleze ulipoishia, kila tatizo hutatuliwa kwa njia yake hakuna formula ya kutatua mambo ya kijamii.
 
Nasema leo hapa jf na wote mjue wana MMU wadau wangu leo hii hata kama ntakuja ntasema nimetombewa lkn watoto watakuwa n wa mama mmoja tu.
 
Umeishajaribu hata kumuuliza
Kati ya watu WOTE
Wateja wake wooote!!!!

Kwanini wewe??????

I thought ungeweka na sababu ya yeye kuwa na KIU ya kuzaa na wewe

Pengine ingekuwa ni rahisi sana...kupewa ushauri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…