Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

Ku-hangout na washkaji.... Weekend nyingi lazima kuna mtu atapendekeza twende sehemu flani tukale bata....
Heri kujiepusha tu Mimi nimeacha marafiki Kwa namna hyo maana walevi wengi hupenda kulazimisha mtu unywe poa ka wao na usipokunnywa wanakutenga kiaina hivi kuliko uharibikiwe mapema Bora ujiepushe tu
 
Wewe mchaga wa wapi cariha Huwa tunasema mchaga akifanikiwa kuacha pombe pekee yatosha kusema ameokoka[emoji23][emoji23][emoji23]
Gily
[emoji2][emoji2]mie wa kishimundu sijawahi onja licha ya kuzungukwa na walevi Kila corner it's not easy my dear watu Huwa wanashamgaa kweli mie yangu maji, juice, live band na kusafiri ndio vitu navipenda
 
Heri kujiepusha tu Mimi nimeacha marafiki Kwa namna hyo maana walevi wengi hupenda kulazimisha mtu unywe poa ka wao na usipokunnywa wanakutenga kiaina hivi kuliko uharibikiwe mapema Bora ujiepushe tu
tatizo sitaki kua mlokole.....
 
tatizo sitaki kua mlokole.....
Kwani kutokuvuta bangi, kunywa pombe ndio ulokole?
Mbona jambo jipya Hilo, but be you na nafsi yako iamue bila external influence itakusaidia maana Hadi kuukiza hivi Kuna nafsi mbili zinashindana so you listen to ur inner voice, nakuombea uvuke salama hii stage
 
inner voice inanigombeza sana😂
 
Daah kaka hivyo vitabu ni vikubwa mno kuna level fulani ukifika kwenye maisha ndo unapaswa kusoma...

kwa tatizo la mtoa mada nafikiri ktabu cha "the power of positive thinking" kitamfaa kwa sasa hivi
 
Daah kaka hivyo vitabu ni vikubwa mno kuna level fulani ukifika kwenye maisha ndo unapaswa kusoma...

kwa tatizo la mtoa mada nafikiri ktabu cha "the power of positive thinking" kitamfaa kwa sasa hivi
nachukua notes.... 😂
 
Miaka mingi sasa tumekua tukiishi haya maisha.... kwenda maclub weekend na 'kula bata'. Mimi nimekua nikijizuia mno...... nazugazuga chupa moja nainya hata masaa 2-3.....
Miaka mingi sasa mmekuwa mkiishi hayo maisha??
MIAKA MINGI IPI WE MBUZI NA UNA MIAKA 19 TU?? NG'OMBE WEWE KULA POMBE NA WENZAKO, BANGI NA SHISHA ACHANA NAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…