scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Raha kulewa na marafiki,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu huna kazi uwe mlevi na bangi uvute Huoni kama itamletea shida.Ko unamaanisha aache hivo vitu sahizi, then aje awe mvuta bangi na mlevi hapo baadae akishakuwa na familia na watoto ama [emoji848][emoji848]
Hutaniona tena kwenye zile thread. Umenifanya nibadilike. Thanks to you. 😀kwahiyo tukikutana kwenye zile threads zetu tunaendelea vilevile 😂 au unasemaje....
[emoji23][emoji23]mpe kijana wetu ushauri wa kuacha bangi na pombe.19 years? [emoji849][emoji849][emoji849]
Wewe ni mwanangu kabisa.... Aisee kwaherini JF siitaki tena.
Nimeshatoa ushauri[emoji23][emoji23]mpe kijana wetu ushauri wa kuacha bangi na pombe.
Wazee ni hazina
Demi rudi huku haraka tumsaidie mtoto asijeakaharibikiwa 😂19 years? 🙄🙄🙄
Wewe ni mwanangu kabisa.... Aisee kwaherini JF siitaki tena.
🤣🤭😂Leo mshamba anachekwa😂😂😂
[emoji23][emoji23]dah.... Na ulivokua mchangiaji mzuri....Hutaniona tena kwenye zile thread. Umenifanya nibadilike. Thanks to you. [emoji3]
Unacheka mshamba unaharibu mkuu😂😂
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji2960][emoji23]
Naomba mmshauri aachane na KATAA NDOA GANG piaAchana na hao marafiki, yaani uwakatae kabisa.
Kama kweli una nia ya kuacha
Ruksa kucheka mara moja moja[emoji23]Unacheka mshamba unaharibu mkuu[emoji23][emoji23]
Hiyo ni nje ya mada[emoji23]Naomba mmshauri aachane na KATAA NDOA GANG pia
😂 acha tu nicheke ila apewe maua yake ana kitu atafika mbali akivishinda vishawishiUnacheka mshamba unaharibu mkuu😂😂
Pamoja sanaNimeshatoa ushauri
Uliniambia mshamba huelekezwa hachekwi mkuuRuksa kucheka mara moja moja[emoji23]
Usicheke ni serious[emoji23][emoji23][emoji23]