Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #121
Haloo kweli nitafanya ivoDaaah mzee ulifanya field?
Rudi hapo uombe internship
Mm nakuelewa,mm mwenyewe mwaka juzi nilikua nauza nguo k/koo elimu yangu ilinifanya niskie aibu ila baadae nikazoea nilipiga kaz kama miezi 6 hadi nikapata internship mahali
Kaza buti mkuu,you have to walk smart walk fast
Miaka 26 sio kijana mdogo,angalie wenzetu wa ulaya mwenye miaka iyo amesha vuka challenge za namna iyo
Huu ni wakati wa miradi mingi kufunguliwa kwenye NGOs so chakalika mkuu
Tengeneza CV zako weka kwenye bag ukimuuzia mtu maji kwenye private car mpe na cv yako,Mungu ni mwema sana.
#hatammbadojobless ila nimevuka hatua hiyo.
Kuwa mwelewa ndugu yangu usifosi, afya ni bora kuliko hata kazivaa kofia vaa miwani
Nani kakwambia akili yangu haijakomaa kwani Kuja kuomba ushauri ni utotohahaha miaka 26 tena unaelimu ya chuo bado akili haijakomaa tu
Wewe unazingua tu eti mwenzenuuNisaidie mku mm kijana mwenzenu
Dar siwez kuondoka kijijini hakuna mishehata mimi nisinge uza bora hayo maji niyanywe tuu.
na anakuleteaje biashara ya maji hata hamjashauriana au anataka akukomoe??
rudi home dingi using'ang'anie dar
nyie ndo walee wazee wanaouza mchicha barabarani na kushona viatu maana walishindwa kwenda na wakati uliopo kipindi chaoKuwa mwelewa ndugu yangu usifosi, afya ni bora kuliko hata kazi
wewe hayo ni maisha yako endelea kuyaonea aibuNani kakwambia akili yangu haijakomaa kwani Kuja kuomba ushauri ni utoto
Yani hii nchi ngumu sana kiongozi halafu saizi ukiwa msomi huna kazi wala pesa mitaani wanakudhihakiVery sad indeed. Hii inaweza kuwa stori ya kutunga lakini ina ujumbe mzito sana.
Mhitimu wa chuo kikuu anauza maji barabarani, jambo la ajabu sana.
Na wengine wanakudhihaki humu na kushangilia kwamba wacha likome na madigrii yake!
Tumekuwa na jamii ya ajabu sana ambayo inaona ni jambo la kawaida muhitimu wa chuo kikuu kuwa muuza makopo!?
Kuwa smart,acha kuzingua kijana mwenzanguHaloo kweli nitafanya ivo
Ajabu zaidi kaweka tu akasema haya kauze acha kulalalalaHata mimi nakuunga mkono atakupaje biashara hamjashauriana nae?
Tangu mwaka Jana Sina demu wala sijawahi Pata hata buku Tatu mfukoni nikachukue hata danga nisafishe runguKuwa smart,acha kuzingua kijana mwenzangu
Hauna demu?
Sometimes ukiwa na demu unapata hamsa ya kufanya kazi kwa bidii ili utoboe
Picha iliyopo haina uhusiano na mm wala maandishiUnatakutuaminisha hyo picha ni wewe,Nani alikupiga tuambie...we jamaa unafurahisha kijiwe
Kumbe una degree.Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.
Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips [emoji489] na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.
Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.
SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.
Mtegemea cha nduguye hufa maskiniHabari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.
Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips [emoji489] na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.
Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.
SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.
Hayo ndomaneno huwa siyataki mtu akikwama tu kidogo anaambiwa rudi kijijiniPaki mabegi urudi kwenu, unatia aibu. Acha uvivu
Hapana maisha nikusaidianaMtegemea cha nduguye hufa maskini