Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Daaah mzee ulifanya field?
Rudi hapo uombe internship

Mm nakuelewa,mm mwenyewe mwaka juzi nilikua nauza nguo k/koo elimu yangu ilinifanya niskie aibu ila baadae nikazoea nilipiga kaz kama miezi 6 hadi nikapata internship mahali
Kaza buti mkuu,you have to walk smart walk fast
Miaka 26 sio kijana mdogo,angalie wenzetu wa ulaya mwenye miaka iyo amesha vuka challenge za namna iyo

Huu ni wakati wa miradi mingi kufunguliwa kwenye NGOs so chakalika mkuu

Tengeneza CV zako weka kwenye bag ukimuuzia mtu maji kwenye private car mpe na cv yako,Mungu ni mwema sana.

#hatammbadojobless ila nimevuka hatua hiyo.
Haloo kweli nitafanya ivo
 
Very sad indeed. Hii inaweza kuwa stori ya kutunga lakini ina ujumbe mzito sana.

Mhitimu wa chuo kikuu anauza maji barabarani, jambo la ajabu sana.

Na wengine wanakudhihaki humu na kushangilia kwamba wacha likome na madigrii yake!

Tumekuwa na jamii ya ajabu sana ambayo inaona ni jambo la kawaida muhitimu wa chuo kikuu kuwa muuza makopo!?
Yani hii nchi ngumu sana kiongozi halafu saizi ukiwa msomi huna kazi wala pesa mitaani wanakudhihaki
 
Hata mimi nakuunga mkono atakupaje biashara hamjashauriana nae?
 
Unatakutuaminisha hyo picha ni wewe,Nani alikupiga tuambie...we jamaa unafurahisha kijiwe
 
Kuwa smart,acha kuzingua kijana mwenzangu
Hauna demu?
Sometimes ukiwa na demu unapata hamsa ya kufanya kazi kwa bidii ili utoboe
Tangu mwaka Jana Sina demu wala sijawahi Pata hata buku Tatu mfukoni nikachukue hata danga nisafishe rungu
 
Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.

Changamoto ilianza majuzi huyu shemeji Ana roho mbaya kweli kumbe kipindi chote kaka angu huwa anampa 2000 ili anipe pesa ya msosi afu yeye anakata ananipa buku, nilikuja kugundua juzi broo aliposema kwa sauti nanukuu.,(hiyo buku mbili utampa dogo ya msosi) nikasema afadhari nitanunua namm Leo chips [emoji489] na Pepsi nijimwayemwaye, Sasa chaajabu shemeji akaja kunipa buku tu hapo tukaanza kugombana sasa akaanza kunifyezuri na kunifedheshesha mbele ya majirani wa kizaramo wavaa vijora, akisema tena kwa sauti ati amenichoka najaza kitambi tu kazi Sina nabweteka Kati pesa nizakaka angu.

Jana ilibidi yote nimwambie broo huku nikiwa na hasira sana kuliko mwanaume aliyemfumania mkewe . Broo akaniambia yote yaishe atanipa mtaji wa kazi.

SASA chaajabu Leo asubuhi naona ameniletea maji ya uhai kama Dazani tano hivi na MO energy kama dazani saba eti anasema nisimame kwenye mataa ya Sudani Temeke nianze kuuza huku nimebeba mimaji kichwani amesahau kuwa mimi nina degee kutoka UDSM chaajabu hajaniachia hata sent mpaka mdaa huu sielewi nakula nini wenyewe wameenda kazini, naombeni ushauri nifanyeje.

Kumbe una degree.
 
Mtegemea cha nduguye hufa maskini
 
Back
Top Bottom