Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

Shemeji yako ana nia nzuri sanaa, sema utaratibu alofuata hakuuweka vizuriii

Si ajabu iko siku utakuja mshukuru kwa alichokifanya, mara nyingi vijana hutoa lawama mwanzoni ila baadae huja kusema isingekuwa fulani aloniambia hivi nisingeona mwanga
 
Shemeji yako ana nia nzuri sanaa, sema utaratibu alofuata hakuuweka vizuriii

si ajabu iko siku utakuja mshukuru kwa alichokifanya, mara nyingi vijana hutoa lawama mwanzoni ila baadae huja kusema isingekuwa fulani aloniambia hivi nisingeona mwanga
Tatizo wamenunua maji hata hatujashauriana
 
Kwani wenye degree za UDSM wakoje mkuu...[emoji1][emoji1][emoji1]

Wengine ni wajinga tu, kichwani hamna kitu kama mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ujinga wangu uko wapi naomba unijibu tafadhari kabla sijaenda police ivi unajua ukimtukana mtu fine yake ni million ngapi please naomba jibu laharaka ujinga wangu uko wapi
 
Tatizo lako umeenda kumshitaki shemeji Yako ulitegemea Kaka Yako ampige makofi.....kumbuka wewe ni mdogo wake na yule ni mke wake na hapo sio kwenu ungemfuta taratibu bro wako akutafutie hata kamchongo au akube kamtaji kidogo ukaparangane mtaani.

Sasa hapo umemfanya shemeji Yako akuchukie maana ataona unamgombanisha na mume wake ,na ataanza kukubania Kaka Yako akitaka kukusaidia uisikute hata hilo wazo yeye ndio kalipitisha au haujui mwanamke alivyo na ushawishi kwenye ndoa, na kama Kaka Yako kachotwa na mkewe your dead man...

Ushauri wangu kama ikiwezekana uombe hata msamaha kwa shemeji Yako Mambo ya kikaa sawa ongea na bro wako akupe hata laki mbili(hata kwa mkopo) ukafanye biashara ndogo ndogo .
 
We ni freezing mind na degree yako, ila sijui ata kama unayo
 
Ukweli ni kazi ngumu, tena ngumu sana. Kuuza maji barabarani sio kazi rahisi hata kidogo, lakini maisha yanatuchapa kwa namna ambayo kuna kazi inabidi tu mtu ufanye ili upate mkate. Na hapa ndipo degree holders wengi wanaumia, kufanya kazi ambazo hawazitaki, hawazipendi, hazifiki pale matarajio yao yalipokuwa, wanahisi kujishusha mno....Ila hata simba kul nyasi sio ajabu sana.

Pole sana mzee!
 
Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.

Subiri kwanza mwaka uishe. Mimi naona kaka yako amekuachia vinywaji kijana kunywa maji na soda .
 
Ukweli ni kazi ngumu, tena ngumu sana. Kuuza maji barabarani sio kazi rahisi hata kidogo, lakini maisha yanatuchapa kwa namna ambayo kuna kazi inabidi tu mtu ufanye ili upate mkate. Na hapa ndipo degree holders wengi wanaumia, kufanya kazi ambazo hawazitaki, hawazipendi, hazifiki pale matarajio yao yalipokuwa, wanahisi kujishusha mno....Ila hata simba kul nyasi sio ajabu sana.

Pole sana mzee!
Asante kwa pole
 
Tatizo lako umeenda kumshitaki shemeji Yako ulitegemea Kaka Yako ampige makofi.....kumbuka wewe ni mdogo wake na yule ni mke wake na hapo sio kwenu ungemfuta taratibu bro wako akutafutie hata kamchongo au akube kamtaji kidogo ukaparangane mtaani.

Sasa hapo umemfanya shemeji Yako akuchukie maana ataona unamgombanisha na mume wake ,na ataanza kukubania Kaka Yako akitaka kukusaidia uisikute hata hilo wazo yeye ndio kalipitisha au haujui mwanamke alivyo na ushawishi kwenye ndoa, na kama Kaka Yako kachotwa na mkewe your dead man...

Ushauri wangu kama ikiwezekana uombe hata msamaha kwa shemeji Yako Mambo ya kikaa sawa ongea na bro wako akupe hata laki mbili(hata kwa mkopo) ukafanye biashara ndogo ndogo .
Asante mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom