Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #141
Nitapiga mishe gnKayauze Jumla, carton ya Maj na mo unapata mtaj wa kupga mbanga ingne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitapiga mishe gnKayauze Jumla, carton ya Maj na mo unapata mtaj wa kupga mbanga ingne
Ndio ndugu yangu nisaidieKumbe una degree.
Kwani wenye degree za UDSM wakoje mkuu...[emoji1][emoji1][emoji1]Wewe una degree UDSM? wewe huyo?[emoji849]
Ama kweli
Tatizo wamenunua maji hata hatujashaurianaShemeji yako ana nia nzuri sanaa, sema utaratibu alofuata hakuuweka vizuriii
si ajabu iko siku utakuja mshukuru kwa alichokifanya, mara nyingi vijana hutoa lawama mwanzoni ila baadae huja kusema isingekuwa fulani aloniambia hivi nisingeona mwanga
Mm ujinga wangu uko wapi naomba unijibu tafadhari kabla sijaenda police ivi unajua ukimtukana mtu fine yake ni million ngapi please naomba jibu laharaka ujinga wangu uko wapiKwani wenye degree za UDSM wakoje mkuu...[emoji1][emoji1][emoji1]
Wengine ni wajinga tu, kichwani hamna kitu kama mtoa mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Kung'ang'aniana buku buku na shemeji akoMm ujinga wangu uko wapi naomba unijibu tafadhari kabla sijaenda police ivi unajua ukimtukana mtu fine yake ni million ngapi please naomba jibu laharaka ujinga wangu uko wapi
Degree ya kupost jf, wafute/watoe tu Yale maneno "home of great thinker's"We ni freezing mind na degree yako, ila sijui ata kama unayo
Habari zenu jamani mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 26 nimemaliza chuo cha Dar es salaam mwaka jana. See saizi nipo apa Dar es salaam Tandika nakaa na kaka angu ndoananipiga jeki nakaa kwake akienda kazini na mke wake wananiachia buku tu la msosi usiku wakirudi shemeji anapika msosi tunaufinya.
Itabidi kwa kweli sasa kama uyu dogo sijui nimuweke kundi ganiDegree ya kupost jf, wafute/watoe tu Yale maneno "home of great thinker's"
Asante kwa poleUkweli ni kazi ngumu, tena ngumu sana. Kuuza maji barabarani sio kazi rahisi hata kidogo, lakini maisha yanatuchapa kwa namna ambayo kuna kazi inabidi tu mtu ufanye ili upate mkate. Na hapa ndipo degree holders wengi wanaumia, kufanya kazi ambazo hawazitaki, hawazipendi, hazifiki pale matarajio yao yalipokuwa, wanahisi kujishusha mno....Ila hata simba kul nyasi sio ajabu sana.
Pole sana mzee!
Asante mkuu kwa ushauriTatizo lako umeenda kumshitaki shemeji Yako ulitegemea Kaka Yako ampige makofi.....kumbuka wewe ni mdogo wake na yule ni mke wake na hapo sio kwenu ungemfuta taratibu bro wako akutafutie hata kamchongo au akube kamtaji kidogo ukaparangane mtaani.
Sasa hapo umemfanya shemeji Yako akuchukie maana ataona unamgombanisha na mume wake ,na ataanza kukubania Kaka Yako akitaka kukusaidia uisikute hata hilo wazo yeye ndio kalipitisha au haujui mwanamke alivyo na ushawishi kwenye ndoa, na kama Kaka Yako kachotwa na mkewe your dead man...
Ushauri wangu kama ikiwezekana uombe hata msamaha kwa shemeji Yako Mambo ya kikaa sawa ongea na bro wako akupe hata laki mbili(hata kwa mkopo) ukafanye biashara ndogo ndogo .
Kazi ganiPambana mkuu
Alikuwa anapewa buku mbili afu ananipa buku ivi umeelewa
Sijakuelewa una maana ganiSubiri kwanza mwaka uishe. Mimi naona kaka yako amekuachia vinywaji kijana kunywa maji na soda .