Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Kiukweli kwenye huu mziki kuna wasanii wanaleta usodoma na gomola kwenye taifa letu.
Wanaimba maneno yasioeleweka kwenye kamusi yoyote, alafu vijana wetu wanakalili hayo.
Unakuta mtu hadi anakwenda kulala, kabla ya kusinzia ana refresh na ushetani kwanza.. wa Chino wana man.
hivi unaelewa hata maana ya hilo jina, ukiimba hivo roho gani inakupanda? utagundua ni ushetani mtupu.
Kuna video nimepishana nayo wapo na fid Q
wanaona watuonyeshe nyeti za wanawake tu sindio.
Nyimbo zinawachota watu akili.
Kajamaa kamepewe mistari huko na miungu yake, kaje kawasodomize wabongo bila kujua.