Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wambie hao wanafiki. Kujifanya watu wa mungu lkn kutwa kufatilia mambo ya kidunia sijui wanategemea nini.Haelewi sie tunafeel vipi tunavyoskia nyimbo za kwaya na kusifu,
watu wanatembea na spika na mic mtaani wanahubiri makelele tu.
Usiku kucha wengine wamefungulia mziki wanaabudu kwa makelele...
Inatuboa sana