Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

unakutana na mtoto wa shule ya msingi anatongoza mwalimu wake, unajiuliza inawezekana vip.
Kumbe chanzo ni anachokiona kwenye tv
Kabisa mkuu, utakuta baba na mama na wao wanafurahia mtoto kuangalia na kucheza hiyo miziki...

Mzazi anamwambia mtoto cheza tuone...
Yaani ni balaaa...
 
Television sio kifaa kizuri kabisa kwa watoto kwa sasa, uchafu mwingi unapandikizwa huko.

Ni bora mtoto akawekewa some movie na mzazi kwenye Laptop
especially Cartoon za Kidini.

Mbali na hapo, akizubaa na MAGIC BONGO unampoteza
Sawa mjomba wamekusikia
61cbf81a6477455d919c132c6a27f071.jpg
 
Back
Top Bottom