💯🤝Television sio kifaa kizuri kabisa kwa watoto kwa sasa, uchafu mwingi unapandikizwa huko.
Acha imani potofu wewe Mungu ni wa kila mtu akuna kilichokikamilifu acha atoe burudani ukiona uwezi auna kipaji fulani usiingize wivu na chuki binafsi wala usiukumu wengine wewe una mabaya mangapi lakini akuna mtu ashawai kukuhukumu wabongo tatizo amjawai kum support mtu kazi kuponda na kudidimiza wenye vipaji vyao ,,,,acha pigo izoo Arifuu acha watu watafute riziki.Kiukweli kwenye huu mziki kuna wasanii wanaleta usodoma na gomola kwenye taifa letu.
Wanaimba maneno yasioeleweka kwenye kamusi yoyote, alafu vijana wetu wanakalili hayo.
Unakuta mtu hadi anakwenda kulala, kabla ya kusinzia ana refresh na ushetani kwanza.. wa Chino wana man.
hivi unaelewa hata maana ya hilo jina, ukiimba hivo roho gani inakupanda? utagundua ni ushetani mtupu.
Kuna video nimepishana nayo wapo na fid Q
wanaona watuonyeshe nyeti za wanawake tu sindio.
Nyimbo zinawachota watu akili.
Kajamaa kamepewe mistari huko na miungu yake, kaje kawasodomize wabongo bila kujua.
alafu mtasema sisi wengine haterz tu, sasa nini hiki ? Martine18012002Amina,Amina na mwAjuma
Wanaringa wamepima
Kumbe wanauza .......
ni kama pombe tu, inaharibu watu lakini haizuiliwi, kwanini??mwenye akili timamu atanielewa.
Vitu vingine vinachekesha sana 😆
Usiseme hivyo...😂Amina,Amina na mwAjuma
Wanaringa wamepima
Kumbe wanauza .......