Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

unakutana na mtoto wa shule ya msingi anatongoza mwalimu wake, unajiuliza inawezekana vip.
Kumbe chanzo ni anachokiona kwenye tv
Kabisa mkuu, utakuta baba na mama na wao wanafurahia mtoto kuangalia na kucheza hiyo miziki...

Mzazi anamwambia mtoto cheza tuone...
Yaani ni balaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…