Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

Miguu sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Nyuma kishundu mbwiii ukimkatia huyo hakuna kumwachia gap
 
Jua mipaka ya imani yako

Imani ni imani tu, wala siyo kweli.

Kisa wewe unaimani fulani haikufanyi uingilie maisha ya wengine.

Wewe ishi kivyako ujiandae na mbinguni.

Usituambie mambo ya roho, sodoma sjui ushetani...
Haya yote yanaweza kuwa ni upuuzi kwa mitazamo ya mwingine.

Waacheni watu wafuate wanavyovipenda vilivyo halali.
 
Let everyone push any agenda they want
 
Channels za dini zipo hamuangalii mmeng'ang'ania za kidunia. Msiangalie mbona simple?
Haelewi sie tunafeel vipi tunavyoskia nyimbo za kwaya na kusifu,
watu wanatembea na spika na mic mtaani wanahubiri makelele tu.

Usiku kucha wengine wamefungulia mziki wanaabudu kwa makelele...

Inatuboa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…