Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

Haelewi sie tunafeel vipi tunavyoskia nyimbo za kwaya na kusifu,
watu wanatembea na spika na mic mtaani wanahubiri makelele tu.

Usiku kucha wengine wamefungulia mziki wanaabudu kwa makelele...

Inatuboa sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Wambie hao wanafiki. Kujifanya watu wa mungu lkn kutwa kufatilia mambo ya kidunia sijui wanategemea nini.

Kila mtu afate anachotaka bila kuingiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…