Uchaguzi 2020 Naona CHADEMA inavyokwenda kuishangaza Dunia

Chadema inavyokwenda kuishangaza dunia.
Endeleeni kujitekenya wenyewe kama ada. Tanzania haiwezikuwa chini ya utawala wa kimwinyi....wa kung'ang'ania madaraka, iwe liwalo!.
 
1:Kuwatumbua wafanya kazi wenye vyeti feki na kuwaacha wengine wasiyo na vyeti
 
Hao hao wana ndugu zao kibao huko makwao na ndiyo walio wengi.
Ccm hamta amini majicho yenu
superbug,

Unaota mchana kweupe wewe. Waajiriwa wa serikali na wenye mikopo ya bodi hawafiki hata 20% ya wapigakura wote.
 
Wataalamu wa sayansi ya jamii wamethibitisha kuwa ushindi hautokani na juhudi za mshindani kumshinda mshindani wake bali kujishinda mwenyewe kwa kufanya vizuri, vizuri na vizuri zaidi.

Kwa ukweli huo, CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, lengo lisiwe kuishinda CCM, bali ni jinsi gani wanaweza kushinda kwa kurekebisha makosa na mapungufu yao ya ndani kwa ndani, kuelekea kila uchaguzi. Kwa maana ya namna na jinsi ya kuwaaminisha wapiga kura.

Hizi mbwembwe za maneno ya mitandaoni, kujimwambafai na kusingizia Tume ya Uchaguzi, kamwe haziwafikisha kwenye malengo yao ya kisiasa.

Kwa miaka hii ya Utawala wa Rais Magufuli, Serikali imeweza kutekeleza kwa zaidi ya 75% ya ahadi zake zilizomo na zisizokuwemo kwenye Ilani ya Uchaguzi, 2015. Viongozi wa CCM, kila ngazi, wamehimizwa kufuatilia utendaji wa Serikali katika maeneo yao kulingana na Ilani ya Uchaguzi na ahadi za wagombea wao waliopewa dhamana na wananchi.

Je, upinzani umefanya nini cha kuaminiwa na wapiga kura zaidi ya kuikejeli Serikali na madai ya viongozi wao yenye maslahi binafsi km Tume huru ya Uchaguzi ili waingie madarakani?
 
Hao ndio wenye nguvu ya ushawishi.. hata wangekua 5% wana nguvu ya kushawishi thenremaining 95%
superbug,

Unaota mchana kweupe wewe. Waajiriwa wa serikali na wenye mikopo ya bodi hawafiki hata 20% ya wapigakura wote.
 
Amina
 
Bring back our 1.5 trillion
 
Endeleeni kujitekenya wenyewe kama ada. Tanzania haiwezikuwa chini ya utawala wa kimwinyi....wa kung'ang'ania madaraka, iwe liwalo!.
Jiandalie kitanzi au sumu ya kunguni maana hutoamini kitakacho wakuta
 
Lazima utakuja kuyakana maneno yako siku mh Lissu atakapo kuwa anakula kiapo
 
Dola mkuu, kuishinda dola sio rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…