Uchaguzi 2020 Naona CHADEMA inavyokwenda kuishangaza Dunia

Kwa mijizi hii na tume hiii, miaka yote ya uchaguzi CCM ni weupe...wepesi,sema upinzani nao....daaah !unaendaje uchaguzi wakati fika ukijua refarii ni CCM? Anapanga tu umfunge ngapi ila pia akupige ngapi za kutosha!
Panapo nguvu na umoja wa wengi tume,dola ni udongo tu,
 
Ni Mateka wanaogopa kufutwa kazi
 
Usoni kwangu inakuja picha ya polisi kupiga magoti mbele ya wananchi vituoni mwao!
 
Write your reply...mkuu tatizo tz hakuna tume huru.. itakuwa ngumu sana upinzani kwa tume hii ya sasa. me nilikuwa naona labda ni vyama kuungana na kusimamisha mgombea mmoja napo tatizo linakuja kwa wasaliti..!
 
Ili ujue kuwa ccm ina hali ngumu sasa hivi huku halmashamashauri wameitwa watendaji na wataalamu ngazi ya kata na vijiji wamepigwa biti la kutoshadadia upinzani in any way na kupewa mbinu za kuhakikisha chama kinabaki madarakani.
Wakuu wa idara na vitengo pamoja na maafisa wengine wa makao makuu ya wilaya wameitwa kwenye kikao elekezi kuhusu uchaguzi na namna ya kuilinda ccm ibaki madarakani.

Nami nikiwamo ndani yake nilishangaa hiki chama kinachotangaza kupendwa kila siku mbona kina haha kiasi hiki?
Watumishi tumedanganywa kwamba ccm ikitoka madarakani na ajira zetu zitakuwa matatani kwani vyama vingine haviaminiki kulinda ajira zetu na ni ccm tu ndiyo inaweza kutulinda, sasa nikawaza inamaana vyama pinzani vikiingia shule, hosp., mahakama, vituo vya polisi vitafutwa? Utagundua hawa jamaa hakika walishatufanya misukule.

Uhalisia ni kwamba sura za watumishi zimekunjamana sana moyoni ukizingatia wengi ni vijana wanaokatwa 15% na HESLB kwenye mishahara yao isiyokuwa na aina yoyote ya ongezeko.
Vilio ktika nchi hii ni vingi;
1. Wakulima wa mazao ya biashara waliowengi wamedhulumiwa bila huruma ktk awamu hii
2. Ajira imegoma kabisa utadhani tumekumbwa na gharika
3. Ukatili ktk awamu hii ni ibada kuanzia MKIRU hadi kanda ya ziwa hasa ziwa victoria

Cha ajabu zaidi ni kwamba vyama vikuu vya upinzani vimebanwa kiasi kwamba ikitokea kiongozi akasimama na kusalimia wapiga kura wake tayari ana kesi ya kujibu mahakamani, kumeundwa sheria nyingi za ajabu utadhani wanaozitunga hawana vichwa lakini kwa lengo la kuwabana wapinzani, pamoja na vibano hivi bado watawala hawana uhakika kama watapita ktk uchaguzi huu kiasi cha kuanza kutafuta huruma y watumishi walioawtesa kwa muda wote kwa lugha za kejeli n.k
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You sound like my grandma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…