Uchaguzi 2020 Naona CHADEMA inavyokwenda kuishangaza Dunia

superbug,

Unaota mchana kweupe wewe. Waajiriwa wa serikali na wenye mikopo ya bodi hawafiki hata 20% ya wapigakura wote.
Ngoja nikufundishe hesabu maana naona
ulikimbia hesabu. Let say wapiga kura Tz wapo Mil 20 (ingawani pungufu ya hapo)
Hiyo 20% ni kama wapiga kura mil 4 au 3
Kila mfanyakazi kwa Tz ana watu wasiopungua 4 wanaomsikilza na kumtegemea. Ukizidisha mil 4 × 4 ni mil
16. Kama una akili umenielewa.
 
Mkuu uchaguzi Wa mwaka huu ni mtam
sana ngoja nifungie kitambulisho change
Kwenye droo na ole familia isipigie cha
ma nitakacho kubali sera zake moto
Utawaka
 
Wakulima bado tuna vidonda visivyo pona kabisa
 
HIYO NI RAMLI CHONGANISHI

1. Wajumbe wa Tume ya uchaguzi - Wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM

2. Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani

3. Vyombo vya usalama (Mkoa/Wilaya) - Wenyeviti wao ni makada wa CCM.
Hata Sudan [emoji1223] walikuwa wanatumia vyombo vyoote ulivyo vitaja lkn wananchi walipo amua walifanikisha
 
Kweli hawazidi 20% ila ongeza 20% ya wake zao na 20% ya jamaa zao jumla ni ngapi?
Zigii ellewa kuwa wanawake wa Tz 98% ni ccm. Kuna rafiki yangu aliwahi kukataa kumpa mama yake mzazi maahitaji na kumwelekeza shida zake zote apeleke kwenye ofisi yaa tawi ya ccm baada ya mama huyo kumpigia kura ya uraisi mgombea wa ccm wakati mwanaye aliimwagiza ampigie lowasa. Chezea kina mama weye!.
 

Naomba CHADEMA katika Agenda zao waongeze hizi:
  1. Malipo ya Mafao ya Wastaafu.
  2. Ujenzi wa Ikulu ya Chato pass na kibali cha Bunge(nje ya Bajeti).
  3. Kuanzisha mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ilhali tayari awamu ya 4 tulishaanza nishati ya Gasi Asilia. Huku ni kukosa vision na vipaumbele.
  4. Kuboresha Vitu badala ya kujali watu. Magufuli kajenga mashule, Zahanati/hospitali lakini hajaajiri Waalimu, Madaktari wala Manesi(nurses).Je, Nani atafundisha na Nani atahudumia wagonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…