Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

Supapawa

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2026
Posts
1,076
Reaction score
2,690
Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma.

Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha Lamarck's theory of evolution, hatumii mfano huu ulio dhahiri, badala yake anaanza kuzungumzia sijui twiga kafanyeje na bla bla zingine.

Sasa, Mimi kama mdau mkubwa wa elimu (sayansi) nawataka walimu wote wawe wanatumia mfano huu ili kila mmoja wetu atambue kuwa hapo nyuma mababu zetu walikuwa na mikia ya nyuma.
 
Halafu ninachowalaumu watu wa zamani ni kwa nini hawakutumia mikia yao vizuri? Huenda hadi Leo tungekuwa na mikia ya nyuma.

Yaani ungekuwa unamtongoza demu, unaangalia anavyotikisa tikisa mkia kuonesha mahaba yake kwako 😋😋

Seran
Mallerina
 
Back
Top Bottom