Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

Waliyokuja na falsafa hiyo walishindwa kuthibitisha kisayansi, nyingi ni porojo tu. Kuna baadhi ya wazungu walijiita wanasayansi wakajitungia falsafa zao kuaminisha zilikuwa ni kweli. Ila walipobanwa na wanasayansi wenzao wathibiitishe walishindwa. Mfano ni Charles Darwin na hata huyo uliyemtaja sidhani kama ana uthibitisho wa madai yake.

Hata sisi weusi tungekuwa na akili za kujitungia na kuita uvumbuzi na tukawa na ushawishi mkubwa duniani. Huenda ungeona Ngoshe theory of man
 
Sasa hivi mtu unamtongoza unakuwa hujui kama naye anakutamani.

Unakuta mtu ni kama kanuna ukimwangalia usoni kumbe mle ndani kisimi kinapwita tu na kimeloana ile mbaya 😅

Kipindi cha nyuma mtikisiko wa mkia ulikuwa unaonesha ama umtongozaye anakupenda au la.
Siku hizi ni kukaziana macho kama vibaka😂
 

Attachments

  • image_8d78fb9d.png
    image_8d78fb9d.png
    2.3 MB · Views: 12
Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma.

Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha Lamarck's theory of evolution, hatumii mfano huu ulio dhahiri, badala yake anaanza kuzungumzia sijui twiga kafanyeje na bla bla zingine.

Sasa, Mimi kama mdau mkubwa wa elimu (sayansi) nawataka walimu wote wawe wanatumia mfano huu ili kila mmoja wetu atambue kuwa hapo nyuma mababu zetu walikuwa na mikia ya nyuma.
huu ni uongo wa wazi wazi embu a angalia kiumbe chenye mkia nyuma hata k yake ipo karibu na mkia je mwanadamu mwenye mkia k yake ilikuwa wapi mbona iko mbali sana na eneo la mkia


usiniambie ni swala la mabadiliko k imeteleza kuja mbele
 
huu ni uongo wa wazi wazi embu a angalia kiumbe chenye mkia nyuma hata k yake ipo karibu na mkia je mwanadamu mwenye mkia k yake ilikuwa wapi mbona iko mbali sana na eneo la mkia
Binadamu akianza kutembea kwa miguu minne kama hapo zamani kei yake inakuwa karibu na mkia wa nyuma.

Kama una mke hebu fanya kama unamweka kama ng'ombe uone halafu unipe majibu yangu.
 
Binadamu akianza kutembea kwa miguu minne kama hapo zamani kei yake inakuwa karibu na mkia wa nyuma.

Kama una mke hebu fanya kama unamweka kama ng'ombe uone halafu unipe majibu yangu.
k yake haipo nyuma pale pale ambapo theory zenu za uongo na kweli zilikuwa zinadai mkia ulipo mcheki ng'ombe wako au piga picha tuone😀
 
k yake haipo nyuma pale pale ambapo theory zenu za uongo na kweli zilikuwa zinadai mkia ulipo mcheki ng'ombe wako au piga picha tuone😀
Kei yake haiko nyuma kwa sababu yeye amesimama.

Hata ng'ombe akisimama kei yake unahama kidogo. Kumbuka pia binadamu baada ya kuanza kutumia mguu miwili kei yake taratibu ilikuwa inahama tu kuja mbele kidogo 😅
 
Back
Top Bottom