Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

Naona huu ukweli uliobayana kuwa, "BINADAMU ALIKUWA NA MKIA WA NYUMA", unapotezewa sana 😎

Aaah hii hoja ni kamba!
Sehemu ya mwili isipotumika huanza kupunguza taratibu na kadiri muda unavyozidi kwenda basi hupotea mazima.

Waangalie wale watu ambao huwa hawatembei, hawafanyi mazoezi, wanamiguu midooo! Ipo siku mguu yao itapotea mazima 😂
 
Back
Top Bottom