Mabaki ya mikia yako wapi sasa?Babe umewaza tofauti. Ni kwamba mikia ulikatika baada ya mababu zetu kuacha kutumia mikia yao. Iliperish.
Umemtolea nani?Aiseeeee wewe ujue nimeshatoa na mahari utani gan huo unaleta hapa bibie
Mbona mi sioni mwisho wakeChunguza vizuri pale uti wako wa mgongo ulikoishia.
Ulipotetelea wapiMkia ulishapotea.
UUMBAJI WA MUNGU!Chunguza vizuri pale uti wako wa mgongo ulikoishia.
Binadamu alipokuwa anatembea kwa miguu minne alikuwa na mkia wa nyuma ambao unamsaidia kufukuza wadudu kama nzi nakadhalima.Ulipotetelea wapi
Sawa nimekuelewa ba mjengo! Kwahiyo mkia ulievaporate?Binadamu alipokuwa anatembea kwa miguu minne alikuwa na mkia wa nyuma ambao unamsaidia kufukuza wadudu kama nzi nakadhalima.
Baada ya binadamu kuanza kutembea kwa miguu ya mbele mkia ukakosa kutumia kwa kiasi kikubwa kwani sasa binadamu alikuwa anatumia mikono kufukuza wadudu wanaomzonga kwa nyuma.
Kukosa huku matumizi ndiko kulifanya mkia kumuanza kupunguza mdogo mdogo, kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Mkia wa binadamu ulipotea mazima, na hata tunavyozungumza sasa hivi binadamu hana mkia we nyuma.
Dr am 4 real PhD, jazia nyama kama.
Ili iweje🙆🏽♀️Yes. Ingependeza tungekuwa na mikia ya nyuma aisee!
Nyege au😂Ili ukiwa unamtongoza mtu uone anavyoutikisa tikisa 🔥
Sasa hivi mtu unamtongoza unakuwa hujui kama naye anakutamani.Nyege au😂