Binadamu alipokuwa anatembea kwa miguu minne alikuwa na mkia wa nyuma ambao unamsaidia kufukuza wadudu kama nzi nakadhalima.
Baada ya binadamu kuanza kutembea kwa miguu ya mbele mkia ukakosa kutumia kwa kiasi kikubwa kwani sasa binadamu alikuwa anatumia mikono kufukuza wadudu wanaomzonga kwa nyuma.
Kukosa huku matumizi ndiko kulifanya mkia kumuanza kupunguza mdogo mdogo, kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Mkia wa binadamu ulipotea mazima, na hata tunavyozungumza sasa hivi binadamu hana mkia we nyuma.
Dr am 4 real PhD, jazia nyama kama.