CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
Bias kama zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu anaweza kuelezea tu kuhusu mazingira aliyoishi au yanayomzunguka, kwahiyo maelezo yatatofautiana....Bias kama zipi?
Inawezekana ana hoja tumsikilizeHuyo dogo kaandika upuuzi wa kiwango cha utoto sana, nimeshindwa hata kumjibu.
Lets say sample iwe 300 couples walio kwenye uhusiano for 40 years,, kutoka kila major place tanzania,, unadhan trend itakuwaje? Au utabiri wako ukoje?mtu anaweza kuelezea tu kuhusu mazingira aliyoishi au yanayomzunguka, kwahiyo maelezo yatatofautiana....
sasa kwanini tuangalie couples tu, tuangalie na walioachana tujue sababu zilikua zipi....Lets say sample iwe 300 couples walio kwenye uhusiano for 40 years,, kutoka kila major place tanzania,, unadhan trend itakuwaje? Au utabiri wako ukoje?
Ni sample space, and wana more data kuliko wenginesasa kwanini tuangalie couples tu, tuangalie na walioachana tujue sababu zilikua zipi....
mada inatutaka tutokomeze single parenting, sasa kwanini tuangalia couples tu.... inabidi tuangalie na watu ambao waliachana, ila wangeendelea wangekua na miaka 40 ya ndoa sasa hivi, ili pia tutambue sababu za watu kuachana tuzitataue....Ni sample space, and wana more data kuliko wengine
Bro shda si nikujua trend ya number of single parenting from 30 yrs to now,,, then tukijua kwamba inaongezeka tujue by how much,,mada inatutaka tutokomeze single parenting, sasa kwanini tuangalia couples tu.... inabidi tuangalie na watu ambao waliachana, ila wangeendelea wangekua na miaka 40 ya ndoa sasa hivi, ili pia tutambue sababu za watu kuachana tuzitataue....
ndio ndio, sasa inabidi taasisi zifanye hivyo....Bro shda si nikujua trend ya number of single parenting from 30 yrs to now,,, then tukijua kwamba inaongezeka tujue by how much,,
From there we'll trace the changes kwenye institute ya ndoa and relationship jibu lipo tu
Mfano marekani 1960's only 9% of kids were raised by single parent kufikia 2000's number ilifikia 22%.ndio ndio, sasa inabidi taasisi zifanye hivyo....
nadhani pia huku itakua on the rise, ila sasa hizi gender norms ambazo tulizitumia zamani saivi zinapotea kwasababu ya usawa.....Mfano marekani 1960's only 9% of kids were raised by single parent kufikia 2000's number ilifikia 22%.
Kwa trend hii unadhani tanzania itakuwaje?
So unakubali kwamba miaka 30 iliyopita uwezekano wa single parenting ulikuwa mdogo comparing na sasa?nadhani pia huku itakua on the rise, ila sasa hizi gender norms ambazo tulizitumia zamani saivi zinapotea kwasababu ya usawa.....
siwezi kubali bila some kind of data.....So unakubali kwamba miaka 30 iliyopita uwezekano wa single parenting ulikuwa mdogo comparing na sasa?
[emoji28][emoji28][emoji28] Sawa bosssiwezi kubali bila some kind of data.....
Ushahidi babu na bibi zetu wameishi maisha yao yote hadi wametenganishwa na vifo na wazazi wetu wengi pia wametenganishwa na vifo. Vizazi vyetu vimetenganishwa na talaka na kudanga.single parents hawatokaa waishe, ndoa sio kitu kirahisi. Mtasema wazee wa zamani ndoa zao zilidumu ila mnashindwa kuthibitisha hilo. Hili swala ni gumu kuliko unavolichukulia....
una uhakika ni babu na bibi wote??Ushahidi babu na bibi zetu wameishi maisha yao yote hadi wametenganishwa na vifo na wazazi wetu wengi pia wametenganishwa na vifo. Vizazi vyetu vimetenganishwa na talaka na kudanga.
Ndiyo jamii hiyo hiyo inaona zinaa, ukahaba/ prostitution na ngono jinsia moja kitu cha kawaida.Sijui kwa upande wenu ila kila nikitizama siku hizi single parenting imekuwa kama trend yaani kitu fulani ambacho vijana hawakiogopi.
Nikitizama zaidi nawaona hawa wana saikolojia/motivation speakers ambao kidogo wamebase kwenye biashara hili jambo wamelichukua kibiashara zaidi. Mfano siku hizi kuna makongamano ya jinsi ya single father/mother wanavyo takiwa waleee watoto, nimeona imekuwa kibiashara zaidi.Naona kuna vipindi mpaka vya TV vya kuwaelimisha single parenting jinsi ya kuwalea watoto wao.
Ila sijaona juhudi za kukazania jinsi ya kuwajenga vijana wapende maisha ya familia, maisha ya ndoa, umuhimu wa familia.
Najua jamii yetu imekengeuka vijana siku hizi hawataki kubeba majukumu yao, jamii yetu imekuwa shaghala baghala,Jando na unyago hatutaki kuvisikia na maisha ya wakubwa ambayo vijana wanatakiwa kujifunzo kupitia wao nao wanahisi maisha ya hovyo.
Kila nikitizama kama tumeamua kuupromote huu usingle parenting now kupitia media na hizi semina (sio kitu kibaya kuwatia moyo single parents) ila naona kama mafunzo ya kuwaeleimisha vijana kuishi maisha ya ndoa na familia yao kama tuna yapuuzia.
Sijui kwa wengine ila kwangu kuna kitu na kiona sio kizuri kwa jamii yetu ijayo.
Naamini familia bora,hutengeneza jamii bora na taifa bora.