Naona jamii yetu ya siku hizi wanaona single parenting kama kitu cha kawaida

Wazungu walichofanikiwa kwetu afrika ni kutuletea dini na ujinga wa haki sawa hii mambo inaenda kutafuna jamii na madhara tutayaona miaka kumi mpka kumi na tano ijayo. Angalia kizazi cha watoto wa 2000 wanavyofyatua watoto wakiwa bado watoto alafu wanakuambia hawataki mazoea na baba wa mtoto yaani kuna bomu soon litalipuka vibaya
 
Lets say sample iwe 300 couples walio kwenye uhusiano for 40 years,, kutoka kila major place tanzania,, unadhan trend itakuwaje? Au utabiri wako ukoje?
sasa kwanini tuangalie couples tu, tuangalie na walioachana tujue sababu zilikua zipi....
 
Ni sample space, and wana more data kuliko wengine
mada inatutaka tutokomeze single parenting, sasa kwanini tuangalia couples tu.... inabidi tuangalie na watu ambao waliachana, ila wangeendelea wangekua na miaka 40 ya ndoa sasa hivi, ili pia tutambue sababu za watu kuachana tuzitataue....
 
Bro shda si nikujua trend ya number of single parenting from 30 yrs to now,,, then tukijua kwamba inaongezeka tujue by how much,,

From there we'll trace the changes kwenye institute ya ndoa and relationship jibu lipo tu
 
ndio ndio, sasa inabidi taasisi zifanye hivyo....
 
Mfano marekani 1960's only 9% of kids were raised by single parent kufikia 2000's number ilifikia 22%.

Kwa trend hii unadhani tanzania itakuwaje?
nadhani pia huku itakua on the rise, ila sasa hizi gender norms ambazo tulizitumia zamani saivi zinapotea kwasababu ya usawa.....
 
single parents hawatokaa waishe, ndoa sio kitu kirahisi. Mtasema wazee wa zamani ndoa zao zilidumu ila mnashindwa kuthibitisha hilo. Hili swala ni gumu kuliko unavolichukulia....
Ushahidi babu na bibi zetu wameishi maisha yao yote hadi wametenganishwa na vifo na wazazi wetu wengi pia wametenganishwa na vifo. Vizazi vyetu vimetenganishwa na talaka na kudanga.
 
Ndiyo jamii hiyo hiyo inaona zinaa, ukahaba/ prostitution na ngono jinsia moja kitu cha kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…