Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Unamtongoza leo, kesho anakulalamikia simu yake imepasuka imevujia kioo, gesi imekata na anatumia mtungi mkubwa hujakaa sawa kodi 100k kwa mwezi inakaribia kuisha na mwenye nyumba wake anachukua ya miesi sita tu, hajui atalipaje, ghafla atakuambia mama yake mgonjwa na yeye ndio dada mkubwa wa familia, hujakaa sawa ATM kadi yake imemezwa na hajui afanyeje...

Yani binti anakua tegemezi kwako kwa kila kitu, ukiangalia kitu pekee anachoweza ku-offer ni mbususu ambayo hata pale riverside zinapatikana bwerere. Yani hata mawazo ya maendeleo hakupi zaidi ya stress na matatizo yasiyokwisha.
Hapa lazma Ma Veteran watoke mbio tu. Wanaoingiaga hii mikenge ni wale maboya tu.
 
😂😂😂😂😂😂mimi mmoja wapo nilisafiri na binti kwenye siti moja mimi wal sina habari nipo bize na simu yangu nikichoka nalala sasa karibia afike aanaposhuka akawa ananiangalia mimi najifanya kama simuoni aisee alinipiga jicho mpaka nikapaliwa na mate.... akashuka nikampisha nazani atakuwa alikuwa anatukana kimoyo moyo😂
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
 
Dah halafu yule demu mwenyewe wa twitter ni bonge la pisi! Hatari hatari! Halafu ana swagger!..... Mnyamwez niliishiwa pozi kwa ile clip mzee dah!

Tuombege namba tusiogope
Mademu wakali ndio rahisi kuwapata kuliko vibungo ambao wengi tunakomaa nao tukidhani hawatakuwa na changamoto sana.

You need balls kumface demu mrembo. Sio kila mwanaume anaweza
 
Inasikitisha
Wewe dada ulietaka kunipa namba kwenye Gari Jana nikakuchomolea pole sana Maisha ya sasa hali yangu ilivyokua tafu sana sina nafasi ya kumuhudumia mtoto wa mtu kwa kipindi hivi mizinga mizinga mibomu mibomu ile daah hapana wewe pole tu kawalipue wengine endeleeni kutuuzia tu ili tule kihalali sio kutupiga mizinga
 
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
sahz ni kuomba mechi
 
Zamani ukitongoza demu ilikuwa proccess ndefu kumpata na ukimpata una asilimia kubwa akatulia na wewe asikucheat na hata vizinga haikuwa sana kama sasa
Ila siku hizi ukitongoza demu tu kabla hata hajakujibu anaanza kukupa shida zake na kuomba hela ya kusuka, kodi, hela ya gesi, hela ya marejesho, hela ya mchezo nk...halafu hata ukimpa kila anachotaka bado hakuna guarantee kwamba atatulia na wewe ila masela wataendelea kumtomba kama kawaida
🤣 Uyo ni demu wetu bro unakulaje mwenyewe sasa.
 
Back
Top Bottom