Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Huyu manzi wala siyo mkubwa kivileee, sema tu inaonesha ana zile tabiza za kupenda Entitlement, worship me, put me on a pedestal. Atakuwa anatoka Kaskazini huyu, lazima. Mamanzi wengi wa Kaskazini hizi ndiyo pigo zao.
Anajikuta ni mrembo kweli ila anatamani kila mtu azuzuke na huo urembo wake. Wahuni wamekula mikausho mikali basi dah kiroho kimemuuma.
 
Back
Top Bottom