Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaelekea pazuri. relax bossHii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
Siku hizi wanaziomba wao wenyewe mbwa hawa...
Cha msingi ukipewa piga mpaka akojoe damu, popote nyege zimshikapo wa kwanza kukufikiria awe ni wewe manina hawa.
View attachment 2742061
Mhhh hayaHii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..
Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal
Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mbwa*"@ m 1 eti ananiambia nimpe laki 4. kirahisi rahisi tu.Mwanamke ukimtongoza tu,jiandae kwa vizingi,sasa usawa huu wa kujitafuta nianze kuhonga pesa kisa mbunye wakati nikiwa na aftatu napata utelezi.
Wape ushauri?Dohhh itakua hatari sana hii sa kwa ambao hawana wanaune itakujae sasa??🤔
Mkuu iweke hiyo clip hapaUmeona mbali na ile clip ya mdada alitaka kuombwa namba na jamaa ,sema msela hana time😅.
Mpe mkuu.anashida gan?ajui ni salary iyo😃😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mbwa*"@ m 1 eti ananiambia nimpe laki 4. kirahisi rahisi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Daah.
KilimbatzWatu hawana shobo tena na mademu ni mikausho mikali ..
Watajitongoza wenyewe tu.Dohhh itakua hatari sana hii sa kwa ambao hawana wanaune itakujae sasa??[emoji848]
Nilishajiapiza, mwanamke atakaekula ela yangu ni yule ambe yupo submissive. Sio hawa feminist wa 50/50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mbwa*"@ m 1 eti ananiambia nimpe laki 4. kirahisi rahisi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Daah.
Hahahahaha,telegram tu mzigo unakuja hadi getoBaada ya wanawake kuweka pesa mbele vijana nao wameona hakuna haja tena ya kutongoza na kumiliki demu kama huna mpango wa kuoa,ni telegram tu mzigo hadi geto[emoji28].
Mambo ya bby hela ya gasi,ya kusuka,ya kodi,akiumwa utibie,ya gauni fasheni mpya hii kero yote ya nini wakati maokoto yenyewe bado hayaja kaa vizuri.
Kuna ambao hatuna wanawake ,umejiuliza inakuaje pia?Dohhh itakua hatari sana hii sa kwa ambao hawana wanaune itakujae sasa??🤔
Na kwa hii ya upinde itafika hii hatuaIsaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vijana wa sasa wanatunza kibunda ,uchumi ni muhimu watu wanakula mikausho tu mikali.