Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu


Mwanaume asiyetongoza Mwanamke huyo ni PUNGA aka UPINDE.
 
Kumbe alitaman sana atongozwe
siku moja nilikuwa nachat na dada mmoja ilikuwa mwaka jana mwisho ,basi huyu dada ni mkubwa miaka kama 28 hajaolewa wala hana mtoto.

Akawa anasema nachat nae ishu za kazini kwa mda mrefu maana kuna maelekezo nilikuwa na mpa na yeye yupo kituonq mkoani mimi ni Dar...Akawa anasema "wanaume wa sasa wala hawatongozi 😅😅 "

Nakamuuliza kwani haujawah kutongozwa? Akasema "anatongozwa ila ni watu wa hovyo yaani leo katongozwa na jamaa akiwa anamfikiria anakuja kuambiwa na rafiki yake pia katongozwa na jamaa huyo huyo" basi wanakosa mood ya kuwa na wanaotongoza wanawaona kama vicheche.
 
Nionavyo mm wanaume mmshaacha kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…